HABARI ZA HIVI PUNDE: Mbunge wa Kibra Ken Okoth aaga dunia

Image result for kibra mp ken okoth

Mbunge wa Kibra Ken Okoth amefariki katika Hospitali ya Nairobi.

Familia hiyo ilitangaza katika mkutano na waandishi wa habari Ijumaa.

Image result for kibra mp ken okoth

Alikimbizwa katika kituo cha matibabu Alhamisi usiku baada ya hali yake kudhoofika.

Okoth alikuwa amegunduliwa na hatua nne za ugonjwa wa cancer.

Maelezo zaidi kufuata…..

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *