Akothee auguza kidonda cha moyo baada ya kuachwa na mpenzi

Image result for akothee

Bosi Lady AKothee amewashangaza mashabiki wake baada ya kufichua kinagaubaga kwanga anauguza jeraha la moyo kwa mara nyingine. Mama wa watano huwa hababaiki na maisha yake kwenye wazi lakini kimya alichotunza kwa mpenzi wake ni jambo jipya.

Akothee amekuwa na shughuli nyingi kati ya kulea wana wake na biashara zake kitu ambacho hakuna yeyote angetambua kuwa ana mpenzi.

“Tumeachana na mpenzi wangu. usiniunile ni mgani, we jua tu imekwisha, juu nilikata mikutano yetu kwa sababu nafaa kufanya kazi wikendi hii tuliyopanga”.

Related image

Amemshukuru kwa wakati waliokuwa nao pamoja kama kwamba alifurahi sana.

“shukrani nyingi, nilifurahia wakati tuliokuwa nawe na nitaikumbuka milele, nitakukosa, lakini nitakula ugali wangu na kukusahau hivi karibuni 😭.”

Inaonekana kama madam bosi amechukua mkondo wa Zari ya kujificha nyuso za bae na utambulisho kutoka kwa Instagram.

 

View this post on Instagram

 

I think women sacrifice alot in trying to make a relationship work out, that’s why they carry alot of bile when it’s over , true or false ? We just broke up with bae, don’t ask me which one ,just know it’s done , simply because I cancelled my trip to see him , simply because, I have to work that weekend scheduled for our meeting πŸ’”πŸ’”, thanks alot baby , I enjoyed the time we shared, it was and will forever be remembered😭😭 , I will miss you , but I will eat my ugali and forget you soon 😭😭πŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜«πŸ˜œπŸ€£πŸ˜‚the only thing I will assure all men coming into my life , check the list πŸ‘‡πŸ‘‡ 1.God 2.Me 3.My children 4.My Work 5.AOB 😭😭😭😭 Nimewachwa tena Onto the next πŸ™‰I need juice asap 😍

A post shared by AKOTHEE KENYA (@akotheekenya) on

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *