CCM Yamjibu Mahanga yamtaka akumbuke fadhila
Chama cha Mapinduzi kimesikitishwa na kauli iliyotolewa na mwanachama wake wa zamani, Dk Makongoro Mahanga aliyedai alishinda ubunge vipindi viwili vya miaka 10 Jimbo la Ukonga kwa kuiba kura…Detail<<
Mbunge ataka spika amwandalie jeneza
Mbunge wa jimbo ya Siha amemtaka Spika wa Bunge Job Ndugai, kumwandalia jeneza lake mapema endapo serikali itashindwa kutatua changamoto ya muda mrefu ya upatikanaji wa ardhi kwa ajili ya makazi na matumizi ya wananchi wa Wilaya ya Siha…Detail<<
Mwalimu atuhumiwa kumuua mwanafunzi kwa kipigo
Mwanafunzi wa darasa la tano katika shule ya msingi ya Kibeta amefariki dunia akidaiwa kuchapwa ni mwalimu baada ya kuiba pochi la mwalimu huyo…Detail<<
Hawa ndio mawaziri 10 wa JPM wachapakazi
Kwa kuzingatia kura zilizokuwa zikipigwa na wasomaji wetu, wafuatao ni mawaziri kumi waliopata kura nyingi zaidi, hivyo kukidhi kuingia kwenye orodha ya mawaziri kumi wachapakazi…Detail<<
Mourinho alivyotolewa povu ni wanahabari
Mourinho katika mkutano na waandishi wa habari alionekana kukasirika kutokana na maswali yao…Detail<<