Marekani inaogopa kukiri kushindwa Ukraine – Macgregor.

Washington haipo tayari kujadili makubaliano ya amani kati ya Ukraine na Urusi, kwani hii ingekuwa ni kukubali kushindwa kwao wenyewe katika mzozo.

Haya yalielezwa na aliyekuwa mshauri wa zamani wa mkuu wa Pentagon, Luteni Kanali Douglas McGregor.

“Mazungumzo yatakuwa ni kukiri kushindwa. Kushindwa kamili. Kila kitu kilijengwa kwa msingi kwamba Urusi ni nchi yenye historia inayohitaji kusambaratishwa. Ni vipi unaweza kurejesha madai haya na kusema ulikuwa na makosa? Haitatokea,” McGregor alisema.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *