Rais Samia Ateua Tena

Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Samia Suluhu Hassan, amemteua Mhandisi Yahya Ismail Samamba kuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini.

Taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu inasema uteuzi huo umeanza jana Februari 27.

Kabla ya uteuzi huo, Mhandisi Samamba alikua akikaimu nafasi hiyo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *