Waliobadili Jinsia Wapata Mtoto – India

Ukistaajabu ya Musa, yaone haya ya India..! Mwamba aliyekuwa mwana kawa pisi na huku pisi nayo ikawa mwana.

Anaitwa Ziya Paval – aliyezaliwa mwanamume – na Zahad – aliyezaliwa wa kike – wamejifungua mtoto na hawakuwefichua jinsia ya mtoto wao baada ya kuzaliwa katika hospitali ya serikali ya Kerala

Wanakuwa wa kwanza kuzaa mtoto kwa wanandoa wanaobadilisha jinsia katika taifa la Asia Kusini.

Wazazi wote wawili walikuwa wakipitia matibabu ya homoni ili kubadilisha jinsia walipopata mimba – na sasa wanaripotiwa kuwa “wamefurahi sana” kupata mtoto wao “hana matatizo ya kimwili au kiakili”. (ANI)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *