Uhuru Amfuta Kazi Waziri Kiunjuri

Image result for uhuru cabinet reshuffle

Rais Uhuru Kenyatta amemfuta kazi Waziri wa Kilimo Mwangi Kiunjuri, katika mabadiliko ya baraza la mawaziri hii leo.

Waziri Aden Mohammed pia ameangukiwa na shoka, huku Mutahi Kagwe akipata kazi kama Waziri wa maswala ya Afya.

Wengine ambao waligusua na mabadiliko haya ni pamoja:

Betty Maina – CS Trade
Rachel Omamo – CS Foreign Affairs
Sicily Kariuki – CS Water and Irrigation
Monica Juma – CS Defence
Simon Chelughui – CS Labour
Ukur Yatani – CS Treasury

Maelezo zaidi Kufuatia…

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *