Famous TV show Selina caused an online uproar after the people’s favorite actor, Pascal Tokodi made a decision which never pleased the audience.
Tokodi, who is known as Nelson in that show has a great crush to the prettiest actress Selina. In the previous episode, he dumped her for Brenda Warimu who is known as Rosetta in that show.
His fans took to social media to express their annoyance towards the decision he made assuring him that he will regret in future and ran back to Selina.
Check out some of the reactions below.
rubylighty
Nelson jaman huyo ni kichaa subiria cku yako
goldenboyfm1
Inauma sana where is my Selina
mimah_cuty_
Yaan acha tu mi nlikuwa naongea pekeaang namwambia nelson fungua panzia 😅kama vile ananisikia
mariam_rashid989
Na hamtofunga ndoa ng’o ww ni wa selina tuu
zarithebosslady_kenyan
I’m on Selina’s side hii wedding isipush thru
flossita_
Sipati picha siku ukikwama utarudije kwa Selina kuomba msaada😊
rosylyvia
Nelson why are you doing this to us…….aki Selina anakutakia mema for real,….miiii nmeboeka hakiiiiii
mimah_cuty_
Pascal huyu rosset ni chiz 😅 mi nakwambia kama selina anashindwa kukwambia usimuoe.
millie_akidor
Nelson vile anajifanya kichwa ngumu utajua ujui😂😂
officialmwana_0716472754
Na ubishi wako ipo siku utamkumbuka Selina sanaa , Ngoja uonje joto ya jiwe kama Biko katika ndoa unayoitaka na kuing’ang’ania 🤣🤣🙌🙌.. with love from Tanzania.
mimah_cuty_
Nelson Nelson nelson nakuita mara tatu 😆mnaniboa sana why selina anaonekana anawivu na ww wakat anakuokoa kwa rosset na huyu directa kwann anapendelea upande wa biko na rosset mwambie leo tunataka kuona selina anacheka sio kulia lia tu
roseandy_
Yani kiukweli hujawahi kupendeza na huyo rossete😂😂😂😂, team seliso n utatujua tu na wivu wetu
wanjiku.deborah
Nelson mi nlikuachia dunia,fanya utakavyo lakini usije juta,kwaheri💃💃💃🏻
rennycutie
Nelson achana na huyo mwanamke hakufai
acjumbe
Nachukia ambavyo humuamini selina.. Rosette atakuangamiza ni chizi..😂.we love you team selina from TZ