Tweets tano za Nape zilizozua mjadala Mei

Moja ya wabunge vijana kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambao wamekuwa wakifuatiliwa sana na Watanzania kwa sasa katika mitandao ya kijamii hususan Twitter ni Nape Moses Nnauye.

Nape amekuwa akifutiliwa sana kutokana na tweet zake kujaa tafakuri kubwa hasa katika kipindi hiki ambacho inaelezwa amekuwa katika sintofahamu na baadhi ya viongozi wa chama hicho.

Hizi ni baadhi ya posti zake katika Twitter mwezi huu ambazo zimejaa tafakuri kubwa sana, akiandika maneno ambayo tafsiri yake ni kama ina kificho hivi-:

Tangu uteuzi wake kama Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kutenguliwa March 23, mwaka 2017, kwa nyakati tofauti, Nape amekuwa akiikosoa serikali Dhahiri katika hoja mbalimbali hususan katika mikutano na vikao vya Bunge la Jamhuri ya Munngano wa Tanzania.

Kwa sasa Wanasiaa vijana ambao kurasa zao za Twitter zimekuwa zikifuatiliwa sana kutokana na posti zao zilizojaa tafakuri ni Zitto Kabwe, Nape Nnauye, January Makamba pamoja na Hussein Bashe.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *