La haula! Angalia jinsi wanandoa wa shillingi mia moja wamekua

Image result for 100 bob couple

Kwa kweli kama tunavyojua, kuna wakati wa kila kitu kwenye maisha ya kila mmoja. Wakati wa kulia na wakati wa kucheka, nyakati za kuwa juu na pia nyakati za kuwa chini.

Hivi bado wakumbuka familia moja iliyogonga vichwa vya habari kwa kufanya harusi wa kufana kwa kutumia shillingi mia moja tu?

Wilson Mutura na mke wake Ann Muhonja wamerudi kwenye habari kwa mara nyingine.

Image result for 100 bob couple
Mutura na Ann kwenye harusi yao

Ila kwa wakati huu, wamekuja kuonyesha kwamba wanaishi maisha mazuri kupindukia.

Wajambuzi wameripoti kwamba wawili hao wanaishi maisha ya “hadi kifo kitutenganishe.”

Baada ya harusi yao iliyozua gumzo mtandaoni, Wilson na mke wake walibarikiwa na mtoto mvulana.

Image result for 100 bob couple

mtoto wao amekua kwa kasi na kulingana na picha walizozipachika mtandaoni, ni kweli wana furaha licha ya changamoto ya hapa na pale.

Bwana Mutura alisambaza picha hizo za familia yake changa na wamejawa na baraka tele.

100 bob couple

Wakenya wamefurahishwa na familia hii ya Dolla moja.

Haya ni baadhi ya maoni yao;

Unbothered Keshi Njogu Time flies away so fast, just the other day you came for vacation at Amani Tiwi Beach Resort. May God continue blessing your union.

Lilly Georgezz Wow beautiful family you are blessed beyond boundaries, still going far.

Ann Ayuma Miroya Wow….she has really changed…beautiful.

Immaculate Otieno God is great, I watch wonders happen in lives.

RozyKens Muha Beautiful family very true mumebarikiwa.

Prince Jasper Ojwach Great and blessed family.

Wanja Muchiri WaMuchiri This is God’s wonderful deeds…..wow! The reward of humility…May more blessings follow u all way up Wilson Mutura.

Image result for 100 bob couple

Elizabeth Mackenzie Beautiful… Anne amekuwa mrembo sana. Naona Wilson amekulisha kabisa. God bless you guys.

Jane Wanjiku Wow..cute.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *