Serikali yawasilisha mswada wa Bodi Ya Walimu;Rais DKT Maghufuli Aagana na Wenyeji Wake– UKEREWE

Serikali yawasilisha mswada wa Bodi Ya Walimu

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako Mwandishi Wetu, Dodoma Serikali imewasilisha bungeni Muswada wa Sheria ya Bodi ya Kitaalamu ya Walimu Tanzania ya Mwaka 2018 itakayokuwa na majukumu mbalimbali yakiwamo ya kuweka viwango vya utaalamu wa ualimu…Details<<

Hapi atoa siku 21 Tanroads, Tarura kumaliza barabara Airport ya Nduli

Iringa. Mkuu wa mkoa wa Iringa Ally Hapi ametoa siku 21 kwa Wakala wa Barabara Mijini na Vijijini (Tarura) pamoja na Wakala wa Barabara Nchini (TANROADS) kuhakikisha wanakamilisha ukarabati wa kipande cha barabara ya Uwanja wa Ndege wa Nduli, Iringa. Kipande hicho kina urefu wa mita 250…Details<<

Rais DKT Maghufuli Aagan na Wenyeji Wake– UKEREWE

Image result for magufuli

Rais Dkt John Pombe Magufuli akiagana na wenyeji wake spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Pius Msekwa na Mkewe Mama Anna Abdallah Msekwa,Ikulu ndogo,Nansio Ukerewe,Mkoani Mwanza. Septemba 5,2018…Details<<

Wema Sepetu Amvaa Hamisa Kuhusu Tuhuma za Uchawi.

Mwanadada Wema Sepetu amemtupia lawama kubwa Hamisa Mobeto baada ya mwanadada huyo kukumbwa na skendo ya kuwa amekuwa akitaka kuiloga familia ya msanii Diamond ambae ni baba wa mtoto wake wa kiume. Akiandika waraka mrefu katika ukurasa wake wa instagram…Details<<

Yanga yapewa mchongo mpya

Dar es Salaam. Wakati Yanga ikipongezwa kwa ubunifu wa kukusanya michango kutoka kwa wanachama na mashabiki, uongozi umetakiwa kutobweteka kwa mafanikio hayo. Hadi kufikia jana, Yanga ilikuwa imevuna Sh29 milioni zilizotokana na michango ya mashabiki zitakazotumika kwa shughuli mbalimbali za uendeshaji wa klabu hiyo kongwe nchini…Details<<

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *