CHADEMA Yendeleza ushindi Mahakamani Kesi tatu Mfululizo, CCM Yaamriwa kulipa Mil 8

CHADEMA Yendeleza ushindi Mahakamani Kesi tatu Mfululizo, CCM Yaamriwa kulipa Mil 8

Mahakama Kuu Kanda ya Magharibi mkoani Tabora, imempa ushindi Mwenyekiti wa kijiji cha Kakonko anayetokana kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Bwana Fanuel Nzenda, katika kesi ya Uchaguzi iliyokuwa inamkabili ndani ya Mahakama hiyo…Details<<

Mbunge CCM Kortini Dar kwa Deni la Milioni 20

MBUNGE wa Kilolo, Venance Mwamoto (CCM), amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni kwa kosa la kushindwa kumpeleka mahakamani mshtakiwa aliyemdhamini, Seth Mwamoto… Details<<

Ronaldo kwa hili ameonesha kiburi na dharau za kitoto

Modric, Ronaldo, Salah hawa tena kwenye tuzo za Fifa. Watu wanaguna kwanini Griezmann na Mbappe hawapo! Swali linakuja kwanini hawapo? Nadhani mchezaji bora wa Ufaransa kombe la dunia kwangu mimi ni Varane au Mbappe…Details<<

Pacha wa Yondani huyu huyu hapa

Mabosi wa Kamati ya Usajili wa Yanga wala hawakutaka kulaza damu, kwani wameanza kulifanyia kazi agizo hilo kwa kuanza na beki mtata aliyemficha straika wao, Heritier Makambo katika mechi yao ya mwisho ya michuano ya CAF…Details<<

Licha ya Kuwa na Mtoto, Queen Darleen ni Bikra

Haitakuwa mara ya kwanza kwa mwanadada Queen Darleen kukaa katika media na kutangza kuwa yeye bado bikra ukiachana na kuonekana kuwa yeye ni mcharuko mbele ya watu, hata hivyo wa habari za kutoka kwa watu wae wa karibu inasemekana kuwa mwanadada huyo ana mtoto mmoja mkubwa alyewahi kuzaa huko miaka ya nyuma…Details<<

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *