Rais Mstaafu Kikwete aondoka nchini kueleka Zimbabwe kumuwakilisha Mhe. Rais Magufuli

Rais Mstaafu Kikwete aondoka nchini kueleka Zimbabwe kumuwakilisha Mhe. Rais Magufuli

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Ndugu Philip Mangula akiwa na Mwenyekiti wa United Democratic Party (UDP) Mhe. John Momose Cheyo wakiwa ndani ya ndege ya Rais kabla ya kuondoka kuelekea mjini Harare, Zimbabwe, kwenye sherehe za kuapishwa kwa Rais mteule wa nchi hiyo Mhe. Emmerson Dambudzo Mnangagwa…Details<<

Madiwani Wataka mbwa wapigwe risasi

MADIWANI wa Manispaa ya Shinyanga, wameutaka uongozi wa halmashauri hiyo kununua silaha kwa ajili ya kuwapiga risasi hadharani mbwa vichaa, pamoja na wale wanaozurura mitaani. Agizo hilo walilitoa juzi kwenye kikao cha kawaida cha Baraza la Madiwani huku wakisema …Details<<

Makontena ya Makonda yapigwa mnada na TRA

MAKONTENA 20 yenye samani za ofisi yaliyoingizwa nchini kwa jina la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, yamepigwa mnada na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa kushirikiana na kampuni ya udalali ya Yono. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda. Wakati kontena hizo zikinadiwa, Makonda ameliambia gazeti hili kuwa amesikia habari hizo…Details<<

Kitendawili cha jezi mpya za Yanga

Pamoja na kucheza mchezo wake wa kwanza wa ligi kuu soka Tanzania Bara msimu wa 2018/19, Yanga imebainisha kuwa bado haijawa na jezi mpya rasmi kwaajili ya msimu wa mashindano wa 2018/19 kitu ambacho si kawaida kwa timu kubwa…Details<<

Je Wajua Kupata Hamu ya Kufanya Mapenzi Kila Siku ni Ugonjwa

Jamani ukion wewe kila siku ni kufanya mapenzi na akili yako yote inafikiria mapenzi tu jua wewe ni mgonjwa. Nenda kawaone psychologist wakutibu kabla haujaamua kuishi na mwenza…Details<<

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *