Udiwani kwa Manji Figusi Zatawala

Udiwani kwa Manji Figusi Zatawala

WAGOMBEA udiwani wa vyama vya CUF, Chadema na Ada-Tadea, wamelalamikia hatua ya msimamzi wa uchaguzi Kata ya Mbagala Kuu, kumtangaza mgombea wa CCM kupita bila kupingwa ingawa  wamerejesha fomu kwa mujibu wa sheria…Details<<

Pierre: Simba Hakuna Jipya

ALIYEKUWA Kocha Mkuu wa Simba, Pierre Lechantre, amesema bado hajaona mabadiliko makubwa katika kikosi cha sasa cha timu hiyo chini ya Kocha Patrick Aussems tofauti na ilivyokuwa enzi zake. Pierre juzi alionekana katika Uwanja wa Taifa…Details<<

Mwarabu Fighter afunguka ishu ya kutoka kimapenzi na Sarah wa Harmonize na kufukuzwa kazi WCB (+video)

Aliyewahi kuwa mlinzi wa Diamond Platnumz, Mwarabu Fighter amefunguka kwa mara ya kwanza tangu tuhuma za kutembea na mke wa Harmonize zisambae mtandaoni. Mwarabu Fighter amesema ishu ya kutembea na Sarah sio kitu cha kweli bali kimetengenezwa na watu ili afukuzwe kazi WCB…Details<<

Beki Kagera Sugar Ampigia Saluti Kagere “Kagere Habari Nyingine”

BAADA ya juzi Jumatano mshambuliaji wa Simba, Mnyarwanda, Meddie Kagere kuifungia timu hiyo bao la ushindi dhidi ya Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu Bara, ametabiriwa kuwa ndiye atakayeibuka mfungaji bora msimu huu…Details<<

Wakili aeleza sababu za kujitoa kesi ya Mbowe

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akijadiliana jambo na Mbunge wa Bunda Mjini, Ester Bulaya katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam jana. Picha na Anthony Siame Dar es Salaam. Wakili Jeremiah Mtobesya amejitoa kuwawakilisha katika kesi viongozi tisa wa Chadema…Details<<

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *