Bobi Wine akamatwa tena Punde baada ya Kuondolewa Mashtaka

Bobi Wine akamatwa tena Punde baada ya Kuondolewa Mashtaka

SERIKALI ya Uganda imemuondolea mashtaka Mbunge wa Kyadondo, Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine, lakini alikamatwa tena muda mfupi baada ya kuachiwa huruUamuzi huo unadhaniwa kushinikizwa na hatua ya jumuiya za kimataifa zilizoishinikiza serikali ya Uganda kumuachia huru Bob Wine…Details<<

Manji afunguka,Yanga full mzuka

UNAAMBIWA kazi imeanza Jangwani. Yanga jioni ya leo inatarajiwa kushuka Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam kuikaribisha Mtibwa Sugar katika mechi ya kwanza ya Ligi Kuu Bara, huku Mwenyekiti wake, Yusuf Manji akituma salamu. Bosi huyo aliyerudisha ule mzuka Jangwani mpaka Mwarabu kupigwa katika mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika, ameanza mambo akituma salamu maalumu jeshini pamoja na kwa klabu yake…Details<<

CCM: MCHUNGAJI MSIGWA JIANDAE KUNG’OKA

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Iringa Mjini, kimesema   Mbunge wa jimbo hilo, Mchungaji Peter Msigwa ajiandae kisaikolojia kuachia jimbo hilo. Chama hicho kimesema hali hiyo  inatokana na wimbi là madiwani wa Chadema waliohama na baada ya uchaguzi mdogo wamepoteza kata zote…Details<<

Idris Sultan Adaiwa Kumchukua Ex wa Diamond

Msanii wa Bongo movie na comedian maarufu Idris Sultan anadaiwa kuwa Kwenye Mahusiano ya Kimapenzi na Ex girlfriend wa staa wa Bongo fleva Diamond Platnumz. Kumekuwa na tetesi kuwa Video vixen ambaye hakauki vituko Kwenye mitandao ya kijamii Irene Geofrey maarufu kama Lynn ana banjuka na Idris Sultan…Details<<

Baada ya Muda Gani Unaruhusiwa Kufanya Mapenzi na Mkeo Baada ya Kujifungua?

Zoezi la kujifungua linafariji na kuchosha pia, ni la faraja sana kwa kuwa linakufanya uwe mama? Wiki 4 za mwanzo kwa mzazi zinaweza kuwa katika kumbukumbu zako kwa muda mrefu kwakuwa ni wiki za ‘majimaji’ tu – jasho, kunyonyesha na haja ndogo kutoa majimaji yote ya ziada mwilini mwako…Details<<

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *