Waziri aitaja Mikoa 5 hatarini kupata ebola hapa Nchini

Waziri aitaja Mikoa 5 hatarini kupata ebola hapa Nchini

MIKOA mitano Tanzania iko katika hatari kubwa ya kuambukizwa ugonjwa wa ebola. Ugonjwa huo upo katika nchi ya Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo (DRC) hasa kwenye jimbo la Kivu Kaskazini. Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema jijini Dar es Salaam kuwa, mpaka sasa bado Tanzania haina mgonjwa wa ebola. Ameitaja mikoa iliyo hatarini kuwa ni …Details<<

Amri ya Lugola kwa kigogo wa Nida yaibua utata wa kisheria

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (kulia) akizungumza na baadhi ya wananchi waliofika ofisini kwake jijini Dar es Salaam, jana kuwasilisha malalamiko mbalimbali ili wapate ufumbuzi wa kero zao. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani Dodoma/Dar. Hatua ya Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola kuagiza Mkurugenzi Mkuu wa zamani wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida)…Details<<

Mbunge wa CUF amtaka JPM achukue maamuzi magumu

 Mbunge wa Jimbo la Mchinga lililopo mkoani Lindi kupitia tiketi ya Chama Cha Wananchi (CUF), Hamidu Bobali amemuomba Rais Dkt. John Magufuli, kuingilia kati na kuona jinsi agizo la Rais mstaafu Jakaya Kikwete alilolitoa mwaka 2010 lilivyopuuzwa kuhusu ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Lindi…Details<<

Diamond Kuongeza Mjengo Mwingine Sauzi

STAA wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ameweka wazi kuwa ana mpngo wa kununua nyumba nyingine nchini Afrika Kusini. Muimbaji huyo anayetamba na ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la Jibebe. Diamond amesema; “Still in love with my first South Africa house…. adding the new…Details<<

TFF yamuondoa Mzambia Simba

TFF Yamuondoa Mzambia Simba Claytous Chama raia wa Zambia WAKATI leo Jumatano Simba ikianza kufungua pazia la Ligi Kuu Bara kwa kucheza na Tanzania Prisons, kikosi hicho kitamkosa kiungo wake fundi Claytous Chama raia wa Zambia, kutokana na kuendelea kukosa Hati ya Uhamisho wa Kimataifa (ITC) ambayo…Details<<

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *