Mkuu wa wilaya aagiza kijiji kizima wawekwe maabusu Watu 125 wafariki dunia kufuatia kipindupindu Zari Hassan aahirisha sherehe ya kuzaliwa kwa mwanae

Mkuu wa wilaya aagiza kijiji kizima wawekwe maabusu

Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila, ameliagiza Jeshi la Polisi kuwakamata na kuwaweka ndani wananchi wote wa Kijiji cha Ngole kilichopo Kata ya Ilungu wilayani Mbeya kwa kosa la kuharibu mradi wa maji wa kijiji jirani cha Msheye…Detail<<

Ufafiti: Wafanya kazi wengi hawajui haki zao

Utafiti uliofanywa na Kituo Cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), umeonesha kuwa wafanyakazi wengi hawalipwi malipo ya likizo huku baadhi ya waajiri wakiwalazimisha wafanyakazi kuuza likizo zao ili walipwe malipo hayo…Detail<<

Watu 125 wafariki kufuatia kipindupindu

Mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu umesababisha vifo vya watu 125 tangu mwezi Februari huko Kasaï, katikati mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, nchi ambayo tayari imekumbwa na milipuko miwili ya ugonjwa hatari wa Ebola mwaka huu…Detail<<

Zari Hassan aahirisha sherehe ya kuzaliwa kwa mwanae

Aliyekuwa mkewe mwanamuziki nyota wa Tanzania Zari Hassan ametangaza kwamba hatafanya sherehe ya kuzaliwa ya mwanawe wa kike,Tiffah Dangote kama alivyokuwa ametangaza awali…Detail<<

Zidane amtia joto Mourihno

Kocha wa zamani wa Real Madrid, Zinedine Zidane ameanza kumtia presha kocha wa Manchesster United, Jose Mourinho akisema kuwa anataka kuinoa timu hiyo msimu ujao…Detail<<

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *