NEC wamrudisha rasmi Chiza Buyungu;Simba mvuta Amunike

NEC wamrudisha rasmi Chiza Buyungu

MSIMAMIZI wa Uchaguzi Jimbo la Buyungu, Lusubilo Mwakabibi amemtangaza Christopher Chiza, Mgombea wa CCM kuwa mshindi wa uchaguzi mdogo wa jimbo hilo uliofanyika jana tarehe 12 Agosti, 2018…Details<<

Simba mvuta Amunike

KLABU ya Simba ya jijini Dar es Salaam, inatarajia kucheza na timu ya Arusha United, katika mchezo wa kirafiki utakaochezwa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jumatano, huku kocha mkuu wa timu ya Taifa, Emmanuel Amunike, akitarajiwa kushuhudia pambano hilo. Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), wiki iliyopita lilimtangaza…Details<<

Mke wa AY ajifungua mtoto wa kiume MarekaniJumatatu hii rapa huyo ameutaarifu umma kwamba mke wake huyo amepata mtoto wa kiume aitwaye Aviel ikiwa ni miezi 6 toka wawili hao waingie kwenye maisha ya ndoa…Details<<
Majambazi watatu Warundi Wauawa

POLISI mkoani Kigoma imewaua kwa kuwapiga risasi watu watatu wanaosadikiwa kuwa majambazi kutoka nchi jirani ya Burundi na kukamatwa bunduki moja na risasi 69…Details<<

Ujumbe wa Saed Kubenea Washtua Adai ‘Siyo Wote Wanaohama Wananunuliwa’ Adaiwa Naye Yupo Njiani

Kubenea ameongea maneno ambayo kidogo yamewashtua baadhi ya watu wakidai labda na yeye yupo mbioni kuhama, Ameandika haya…Details<<

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *