MTOTO WA MZEE MAJUTO ATEULIWA KUWA KATIBU TAWALA;Mabasi 12 yasitisha safari, yabainika kuwa mabovu;Simba ya Uturuki kujifua Uwanja wa Uhuru leo;UJUMBE WA DIAMOND KWA TIFFAH, BIRTHDAY YAKE;SAMATTA ATIKISA VIGOGO ULAYA

Mtoto wa Mzee Majuto Ateuliwa kuwa Katibu Tawala

MTOTO wa Muigizaji nguli wa vichekesho nchini, Amri Atumani ‘Mzee Majuto’, Hamza Amri Athumani ameteuliwa na Serikali ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli kuwa Katibu Tawala wa wilaya ya Bagamoyo, mkoani Pwani… Detail<<

Mabasi 12 yasitisha safari, yabainika kuwa mabovu

Dar es Salaam. Mabasi 12 yanayofanya safari za kutoka Dar es Salaam kwenda mikoa mbalimbali leo Jumatatu Agosti 6, 2018 yamesitisha safari zake mpaka yatakapotengenezwa baada ya kubainika kuwa na kasoro katika mfumo wa usukani… Detail<<

Simba ya Uturuki kujifua Uwanja wa Uhuru leo

Akizungumza baada ya kuwasili nchini Kocha wa Simba, Mbeligiji Patrick Aussems alisema amefurahishwa na viwango vya wachezaji wake ambao amekutana nao kwani hakutegemea kukutana na wachezaji wa aina hiyo…Details<<

Ujumbe wa Diamond kwa Tiffah, Birthday yake

KAMA ambavyo imekuwa kawaida kwa watu maarufu wa tasnia mbalimbali nchini na duniani kwa ujumla hasa katika kutimiza jambo flani, msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, amemwandikia ujumbe mwanaye wa kike, Princes Tiffah katika kumbukumbu ya miaka mitatu ya siku ya kuzaliwa kwa mtoto huyo ambayo anaisherehekea leo August 6, 2018…Details<<

Samatta atikisa vigogo Ulaya

TAARIFA za Mainz na Hertha Berlin kuwania saini ya nyota Mbwana Samatta anayecheza klabu ya KRC Genk inayoshiriki Ligi Kuu Ubelgiji, zimekuja wiki moja tu tangu klabu za Levante ya Hispania na CSKA Moscow kutoka Russia kumtaka…Details<<

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *