Breaking: Profesa Lipumba Apata Ajali, Gari Lapinduka

Mwenyekiti wa Chama Cha CUF Tanzania, Ibrahim Lipumba amepata ajali mbaya ya gari akiwa mkoani Lindi…

RC Mbeya: Kuna Gereza Ndani Lina Madini, Tutalihamisha

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Homera ameeleza jinsi mkoa huo ulivyobarikiwa madini mbali mbali hivyo…

Polepole Atoa Onyo Kwa Wahuni

Balozi wa Tanzania nchini Malawi, Humphrey  Polepole amezitaja fursa mbalimbali zilizopo malawi na kuwaonya wahuni juu…

Air Tanzania Yamwaga Ajira Zaidi ya 130

Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) limetoa nafasi mpya za ajira zaidi ya 130 katika kada tofauti…

Mbosso Apata Ajali Huko Marekani

Msanii anayefanya vizuri kwenye muziki wa Bongo Fleva Mbosso Khan amepata ajali usiku wa kuamkia leo…

Kamanda Murilo: Msiogope Kuomba Lifti Kwenye Difenda

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Jumanne Murilo amewatoa hofu wananchi kuhusu kuomba…

Mwasiti Afunguka Kuhusu Mahusiano Yake na Kuzaa

Msanii mkongwe wa Bongo Fleva mwenye sauti mwanana, Mwasiti amefunguka kuhusu maisha yake ya mahusiano na…

Shabiki Yanga Yamkuta, Afunguka Kusafisha Ofisi Simba

Ofisa Habari wa Tawi la Yanga Miomboni Mkoani Iringa, John Njala, amelazimika kufanya usafi katika ofisi…

Keysha Afunguka Ishu ya Diamond

Staa wa Muziki wa Bongo, Keysha ambaye hivi Karibuni amezindua album yake ya Mwangaza, amefunguka kuhusu uwepo…

TMA Yatabiri Mvua Kunyesha Mikoa Hii 16

Mamlaka ya hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa utabiri wa hali ya hewa kwa saa 24…

Hivi Hapa Vitabu 16 Vilivyopigwa Marufuku Mashuleni

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imepiga marufuku matumizi ya vitabu 16 vinavyokwenda kinyume na maadili…

HESLB: Maombi ya Mkopo kuanza Juni 15

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) inatarajia kufungua mfumowamaombi kwa njia ya…

Kampeni mifuko ya plastiki: Nape, wadau wampa 5 Makamba

Mbunge wa jimbo la Mtama, Mh Nape Nnauye amempongeza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa…

Tisa wakamatwa kwa matukio ya ubakaji

Vyombo vya dola Mkoani Kigoma vinawashikilia vijana tisa wanaotuhumiwa kwa matukio ya ubakaji. Akiongea na waandishi…

Serengeti Kinara Afrika

Hifadhi ya Taifa ya Serengeti imeshinda tuzo ya kuwa hifadhi bora katika bara la Afrika kwa…

Waziri Ummy Mwalimu aonya kuhusu utapeli

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu  amewataka wananchi kua makini na…

Kauli ya Zitto kuhusu Makamba

Kiongozi wa chama cha upinzani cha ACT-Wazalendo nchini Tanzania, Zitto Kabwe amempongeza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu…

Homa ya Dengue: Wanaohamasisha matumizi ya maji ya mipapai kuchukuliwa hatua kali

Wizara ya Afya Maendeleo Jamii, Jinsia Wazee na Watoto Tanzania imesema kuwa itaanza kuchukua hatuakali dhidi…

Waziri Jafo atoa agizo kwa Halmashauri

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Seleman Jafo…

Matokeo Kidato cha tano: Kuripoti ndani ya siku 14 tu

Kufuatia orodha ya wanafunzi waliochaguliwa  kujiunga kidato cha tano mwaka 2019 nchini Tanzania ambapo muhula wa…

Wizara ya Fedha yapata mabilioni ya fedha

Serikali kupitia  wizara ya fedha Tanzania imepokea mali zilizotaifishwa na Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoa wa…

UKWELI KUHUSU WANAUME WENGI KUUGUA MARADHI YA AKILI

Maradhi ya akili hujumuisha matatizo mengi tofauti tofauti, takwimu za Shirika la Afya Duniani zinaonyesha, mtu…

Serikali yamwaga pesa kwa vijana

Serikali yatoa mkopo wa bilioni 2.57 kwa vijana 978 wa mkoa wa Dodoma ili kuhakikisha vijana…

Kauli mpya ya Makamba kuhusu mifuko ya plastiki

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira January Makamba amesema, watu wapatao 600 kutoka…

Maalim Seif: Sitawaangusha Wazanzibari

Mwanasiasa mwenye ushawishi mkubwa katika siasa za visiwani Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad amewaahidi wazanzibar kurudisha…

Kipindupindu Tishio Dar, Wanaotiririsha maji machafu kuisoma namba

Watu 32 wamefikishwa hospitalini kutokana na ugonjwa wa kipindu pindu jijini Dar es Salaam ambapo hospitali…

MKE AFANYA MAUAJI YA KUTISHA MOROGORO

Mkazi wa morogoro ameuliwa na mkewe kwa akishilikiana na watu wawili akiwemo mtoto wake kwa kupigwa…

SERIKALI KUAJIRI WATUMISHI WAPYA 44,800 BILA KUJALI UZOEFU

Watumishi 44,800 wenye sifa na vigezo wataajiriwa katika taasisi mbalimbali za serikali katika kipindi cha mwaka…

DRC Congo, Boti za kizamani kuzuiwa

    Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imezuia boti za kizamani kufanya safari zake katika…

WAKIMBIZI, WAHAMIAJI KUNUFAIKA

  Shirika la afya duniani (WHO) limeazimia kuhakikisha wakimbizi na wahamiaji wanapata huduma bora za afya…