Wakenya wamkejeli Waziri baada ya Kusherehekea Msaada kutoka Uchina

Waziri wa Ugatuzi, Eugene Wamalwa Jumatano jioni, aliipandisha mizuka ya Wakenya alipodhibitisha katika ukurasa wake wa…

Mlevi Mwala alishindwa kufikia Breki kabla ya Ajali- Polisi

Mcheshi Davis Mwabili anayejulikana kama Inspekta Mwala ameachiliwa kwa dhamana ya Shilingi 40,000 akisubiri kesi kusikizwa.…

Tutahesabiwa Mbinguni!- Mchungaji awazuia Maafisa wa Sensa Kuwahesabu

Mchungaji wa WaKorino na mkewe wamekamatwa huko Naivasha baada ya kuwazuia waandikishaji wa sensa kuwahesabu. Kisanga…

Nafasi ya Mkaguzi Mkuu na Mdhibiti wa Bajeti zi Wazi- Uhuru

Rais Uhuru Kenyatta ametangaza kuwa nafasi katika ofisi za Mukaguzi Mkuu na Mdhibiti wa Bajetizi(CoB) zi…

Masaibu ya Mchungaji Ng’anga – Waaumini watishia Kumfungulia Mashtaka

Mchungaji James Nganga wa  Neno Evangelism Minitries kwa mara nyingine tena amejipata katika mtego thabiti wa…

Madaktari Wamtoa Buibui Mwenye sumu Kutoka kwa Sikio la Mwanamke

Mwanamke mmoja kutoka Missouri Marekani aliponea chupu chupu  baada ya buibui mwenye sumu kutambaa ndani ya…

Jubilee kupendekeza Mgombea katika Uchaguzi mdogo wa Kibra

Chama cha Jubilee kitatoa mgombea katika uchaguzi mdogo ujao wa Kibra, katibu mkuu wa chama hicho…

Raila Odinga Kutangaza wagombea wa ODM katika Uchaguzi Mdogo wa Kibra

Kiongozi wa ODM Raila Odinga atawavumbua wagombeaji ambao watakuwa wakitafuta tikiti la chama hicho kumtafuta mbunge…

Omtatah afika Kortini Kupinga Msamaha wa Ushuru wa CBA-NIC

Mwanaharakati Okiya Omtatah ameenda kortini kupinga msamaha ya ushuru iliyopewa muunganiko wa benki za NIC na…

Tulinde kutokana na Fedheha – Anerlisa Mungai kwa Rais Kenyatta

Binti ya mkurugenzi wa Keroche Breweries, Anerlisa Mungai, ametoa wito kwa Rais Uhuru Kenyatta kuingilia kati…

Leo ndio maadhimisho ya mwisho ya Kitaifa ya Rais Jomo Kenyatta- Uhuru

Rais Uhuru Kenyatta Alhamisi alitangaza kuwa kumbukumbu ya 41 ya baba mwanzilishi wa nchi Mzee Jomo…

DPP aamuru wakurugenzi wa Keroche, Tabitha Karanja na Mumewe kufikishwa mahakamani… Pata Maelezo kwa kina

DPP ameamuru  wakurugenzi wa Keroche Breweries Ltd Kufunguliwa mashtaka ya ukwepaji wa kodi ya Shilingi 14.45 …

Usifungulie Walaghai Mlango : Njia sita za kutambua Wasajili Halali wa Sensa

Serikali imesema iko tayari kufanya sensa ya sita ya kitaifa ya Kenya usiku wa Agosti 24,…

Waiguru asherehekea kushtakiwa Upya kwa Kabura

Gavana wa Kirinyaga, Anne Waiguru amefurahia hatua ya kumshtaki mfanyabiashara Josephine Kabura upya kutokana na Sakata…

Uchuguzi wa Daktari wadhihirisha sababu ya Kifo cha De’Mathew

Marehemu John Mwangi Ng’ang’a anayejulikana John De’Mathew alikufa baada ya mbavu zake kuvunjika na ini yake…

Uhuru Amteua mwenyekiti mpya wa NLC

Rais Uhuru Kenyatta amemteua Gershom Otachi Omanwa kama mwenyekiti mpya wa Tume ya Kitaifa ya Ardhi.…

Tarehe ya Uchaguzi wa Eneo Bunge la Kibra yatangazwa, Pata Maelezo kwa Kina…

Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imetangaza Novemba 7 kama tarehe ya uchaguzi mdogo wa…

Wachezaji wawili wa Raga wahukumiwa Miaka 15 gerezani kwa Kubaka Mwimbaji

Wachezaji wawili wa Raga  wamehukumiwa  kifungo cha miaka 15 jela kila mmoja baada ya kupatikana na…

Shughuli za Bunge la Kaunti zasitishwa Baada ya Mjumbe wa Kike kuvaa Sketi fupi Ajabu

Cheche za maneno zimeshuhudiwa leo katika bunge la Kaunti ya Embu baada ya Mjumbe wa kike…

Serikali kutumia Mamilioni Kikarabati Makavazi ya Jaramogi Oginga Odinga

Makavazi ya Jaramogi Oginga Odinga huko Bondo yatapata fahari kubwa baada ya Kutengewa pesa za kukarabati.…

Umesaliti Mrengo wa NASA na wafuasi wako wote- Ndii kwa Raila

Mbunifu wa Nasa, David Ndii, ametaja Raila Odinga kama msaliti kwa wafuasi wake wote baada ya…

Serikali yawasilisha mswada wa Bodi Ya Walimu;Rais DKT Maghufuli Aagana na Wenyeji Wake– UKEREWE

Serikali yawasilisha mswada wa Bodi Ya Walimu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako…

CHADEMA Yendeleza ushindi Mahakamani Kesi tatu Mfululizo, CCM Yaamriwa kulipa Mil 8

CHADEMA Yendeleza ushindi Mahakamani Kesi tatu Mfululizo, CCM Yaamriwa kulipa Mil 8 Mahakama Kuu Kanda ya…

Kalanga alalamika kudhalilishwa na Lowassa;Familia ya Mwalimu Nyerere yaridhia Msitu Wa Mwalimu Kuhifadhiwa

Kalanga alalamika kudhalilishwa na Lowassa Mgombea wa Ubunge wa CCM, jimbo la Monduli, Julius Kalanga Monduli.…

Rais Mstaafu Kikwete aondoka nchini kueleka Zimbabwe kumuwakilisha Mhe. Rais Magufuli

Rais Mstaafu Kikwete aondoka nchini kueleka Zimbabwe kumuwakilisha Mhe. Rais Magufuli Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha…

Udiwani kwa Manji Figusi Zatawala

Udiwani kwa Manji Figusi Zatawala WAGOMBEA udiwani wa vyama vya CUF, Chadema na Ada-Tadea, wamelalamikia hatua…

Bobi Wine akamatwa tena Punde baada ya Kuondolewa Mashtaka

Bobi Wine akamatwa tena Punde baada ya Kuondolewa Mashtaka SERIKALI ya Uganda imemuondolea mashtaka Mbunge wa…

Waziri aitaja Mikoa 5 hatarini kupata ebola hapa Nchini

Waziri aitaja Mikoa 5 hatarini kupata ebola hapa Nchini MIKOA mitano Tanzania iko katika hatari kubwa…