Sarah Amuomboleza Cohen kwa Usemi wenye Majonzi

Marehemu Tob Cohen hatimaye amezikwa kwenye Makaburi ya Wayahudi jijini Nairobi. Kati ya waliokuwepo katika mazishi…

Wakenya Wamkejeli Ruto baada ya Kuahidi Kujenga Shule kwa Muda wa Miezi Mitatu

Masaa kadhaa tu baada ya kuahidi kwamba serikali itaunda shule mpya ya msingi ya umma katika…

Cohen Hatazikwa Kiyahudi, Familia Kufuata Utaratibu Huu

Wakili wa Marehemu Tob cohen Cliff Ombeta, mnamo Jumanne, Septemba 24, ameweka wazi maelezo zaidi kuhusu…

Baba mwenye Majonzi atoa Tamko baada ya Kumpoteza Binti Kwenye Shule ya Precious Talents

Baba mwenye Majonzi, David Njeru, Jumatatu, Septemba 23, alielezea jinsi alivyoelezwa kuhusu kifo cha binti yake…

Polisi Waamuriwa kumpa Sossion Ulinzi Afisini Mwake

Kamanda wa polisi wa kaunti Ijumaa alielekezwa kuhakikisha kwamba katibu mkuu wa Knut anayegomewa Wilson Sossion…

Kamanda wa Al-Shabaab Atoa Onyo kwa Kenya Kuhusu Mzozo wa Bahari ya Hindi

Wanamgambo wa Al-Shabaab sasa wameingia kwenye siasa zinazozunguka mzozo wa bahari ya Hindi baina ya Kenya…

‘Inspekta Mwala’ Ahukumiwa

Ripoti za K24 zimefichua kwamba hakimu mkuu mwandamizi wa Mariakani Nelly C. Adalo alimkuta mcheshi huyo…

Mamia Kupigwa Kalamu huku Kampuni ya Mobicom ikipitia Hali ngumu

Kampuni ya uuzaji wa mawasiliano ya simu ya rununu, Mobicom, ambayo imekuwa muuzaji mkubwa kwa Telkom…

Hati ya Umiliki wa Tob Cohen Kusomwa Kesho

Hati ya Umiliki wa hayati mholanzi Tob Cohen itasomwa kesho. Barua kutoka kwa kampuni ya uwakili…

Huduma za Kaunti Kurejea baada ya Rais Kutia sahihi Muswada wa Mapato

Rais Uhuru Kenyatta leo alitia saini na kuifanya sheria Sehemu ya Muswada wa Mapato 2019 na…

Murkomen Akimbizwa Hospitali baada ya Kupata Jeraha

Kiongozi Mkuu wa Seneti na seneta wa Elgeyo Marakwet Kipchumba Murkomen alilazimika kupelekwa hospitalini Jumatatu baada…

Ugomvi kati ya Murkomen na Otiende Amollo baada ya Mariga Kuidhinishwa

Mbunge wa Rarieda Otiende Amollo amegombana na kiongozi wa Seneti Kipchumba Murkomen baada ya IEBC kuidhinisha…

Shahidi Aliyejiondoa kwa Kesi dhidi Ya Dennis Itumbi Ashtakiwa

Shahidi aliyewasilisha ombi la kujiondoa kwenye kesi dhidi ya Dennis Itumbi alishtakiwa Alhamisi katika mahakama za…

Naibu Gavana wa Kiambu Ashtakiwa Baada Ya kuwahamisha Wanakamati wa Kaunti

Mkazi wa Kiambu amewasilisha kesi kortini kupinga hatua ya Naibu Gavana wa Kiambu James Nyoro. Anamshtaki…

Mtambue Katibu Mkuu ‘Anayeogopwa’ zaidi Serikalini… Maelezo kwa Kina

Kwa mwanaume ambaye ni nadra kushiriki katika mahojiano na vyombo vya habari, Dk Karanja Kibicho hivi…

Mamake mtoto wa Ken Okoth aashiria Kupinga Ubunge wa Kakake Marehemu

Mamake mtoto wa marehemu Ken Okoth, mjumbe mteuliwa Ann Thumbi, haonani na familia ya mbunge wa…

IEBC yatupilia mbali Ugombea wa Mariga

Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imetupilia mbali ugombea wa MacDonald Mariga.  Hii inatokana na…

CMB Prezzo Kuwania Ubunge wa Kibra

Mwanamuziki wa Kenya Jackson Makini maarufu kama Prezzo ametangaza azimio lake la kuwania kiti cha ubunge…

Hakimu kuendelea Kukaa Korokoroni hata baada ya Kulipa Dhamana

Hakimu mkuu wa Mombasa Edgar Kagoni atalala usiku mwingine korokoroni hata baada ya kulipa dhamana. Hii…

Askofu wa Katoliki aweka sheria Kali dhidi ya Wanasiasa Kanisani

Askofu wa Murang’a amewaambia wanasiasa waliohusika katika mzozo katika mkutano wa kanisa Jumapili kuomba msamaha hadharani.…

Rais Uhuru Afanya Mageuzi katika Baraza la Makatibu Wakuu… Pata Maelezo

Rais Uhuru Kenyatta amewahamisha Makatibu Wakuu wanane katika mageuzi ya hivi karibuni ya Baraza la Mawaziri…

DPP Aamuru Kukamatwa Kwa Mwenyekiti wa Zamani wa TNA Onyango Oloo na Peter Aguko

DPP Noordin Haji ameamuru kukamatwa kwa spika wa bunge la kaunti ya Kisumu Onyango Oloo na…

Wakenya wawili ni Baadhi ya Waathiriwa wa Machafuko Afrika Kusini- Monica Juma

Wakenya wawili ni baadhi ya watu walioadhiriwa na vurugu dhidi ya raia wa kigeni nchini Afrika…

ODM yakana kwamba Imempuuza Magaya Hospitalini

Chama cha ODM kimethibitisha kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Nasa Norman Magaya hafanyi kazi. Kupitia akaunti yake…

Joe Mwangi hatimaye Amekamatwa

Aliyekuwa meneja wa Mwanasarakasi Wendy Waeni, Joe Mwangi amekamatwa. Kulingana na Ukurasa wa DCI wa Twitter…

Rais pekee ndiye ana Uwezo wa Kutoa Amri ya Kuondoa Wakaazi Mau: Murkomen

Seneta wa Elgeyo Marakwet Kipchumba Murkomen amesema hakuna mtu mwengine isipokuwa Rais Uhuru Kenyatta, anaweza kutoa…

Mnong’ono Katika Chuo Kikuu cha Mara Baada ya Ufunuo wa Utapeli

Mnongo’ono unaendelea kushuhudiwa katika Chuo Kikuu cha Maasai Mara katika Kaunti ya Narok kufuatia kufichuliwa kwa …

Michael Joseph Kuendelea kushikilia kama Mkurugenzi mtendaji Safaricom, Msako wa Mridhi wa Bob Kuendelea

Anayeshikilia kama Mkurugenzi Mtendaji wa Safaricom, Michael Joseph amesema ataendelea kukaa kwa muda zaidi kama anahitajika.…

Masaibu ya Sossion – Wizara yamsimamisha Sossion Kazi

Wizara ya Kazi na Masuala ya kijamii Ijumaa imemsimamisha Katibu Mkuu wa Knut aliyejumuishwa na Wilson…

Wanaharakati Watishia Kulala nje ya Ikulu Serikali isipotimiza Matakwa Yao

Wanaharakati wamemsihi DPP Noordin Haji kuhakikisha wote waliotajwa katika kashfa za ufisadi wanakamatwa bila mapendeleo. Wametishia…