UTACHEKA: UTANI MITANDAONI JUU YA RASTAMAN KWENYE PICHA YA RAIS MAGUFULI

Siku ya jana Rais wa Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli alifanya matembezi…

MPYAAA BONGO FLEVA VIDEO: MARIOO ‘INATOSHA’

Ebwana a long waited video ya msanii wa muziki nchini Tanzania ,Marioo imetoka rasmi video imetayarishwa…

MSAFARA WA NANDY NA WILLY PAUL WAPATA AJALI MOROGORO.

Gari moja aina ya Coaster ambalo lilikuwa likielekea kwenye Show ya Nandy Festival mkoani Sumbawanga limepata…

MAONI YA WABONGO MTANDAONI BAADA YA RAISI MAGUFULI KUKUTANA NA GWAJIMA IKULU LEO!

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akutana na Askofu Mkuu…

QUEEN DARLEEN AELEZEA KWANINI NYIMBO ZAKE HAZIFANYI VIZURI YOUTUBE

Mwanamuziki  kutoka lebo ya WCB Queen Darleen amefunguka juu ya nyimbo zake kutofanya vizuri katika mtandao…

DIAMOND PLATNUMZ & MORGAN HERITAGE KUUJAZA UWANJA WA MPIRA KENYA.

Msanii wa Bongo Fleva Naseeb Abdul ama Diamond Platnumz anatarajiwa kupiga  show jijini Nairobi katika uwanja…

ALLAN MAPIGO AUMIZWA NA MUZIKI WA RICH MAVOKO (Video)

Nadhani wengi mtakua mnamkumbuka producer mkongwe nchini Tanzania Allan Mapigo aliyetengeneza most of Bongo Fleva hit…

MLINZI WA ZAMANI WA RAIS PAUL KAGAME AUAWA AFRIKA KUSINI

Camir Nkurunziza aliyewahi kuwa mlinzi katika kikosi cha kumlinda  raisi Paul Kageme wa Rwanda ameuwawa siku…

Tunda Man: Hata Nikilipwa Milioni 100 Siwezi Kuitungia Yanga Wimbo.

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Tundaman amesema hata alipwe milioni 100  za kitanzania hawawezi kuitungia…

VideoMPYA: Gigy Money ‘ Changanya’ Feat Tushyne/Mauno ya Humu Hatari.

Ebwana eh Gigy Money this time kafanya kweli aiseee. Wakati unajiandaa kumaliza week yako anakuletea kichupa…

Dula Makabila azungumzia kumtumia Sholo Mwamba Feki kwenye Dua.

Mkali wa muziki wa kisingeli nchini Tanzania Dulla Makabila amezungumzia ishu  yake ya kumtumia shollo Mwamba…

Juma Nature:Pombe Haijawahi Niathiri kwenye Muziki/Aeleza Kutopanda Jukwaani Wasafi Festival Morogoro.

Msanii wa bongo fleva Juma Nature amesema kuwa pombe haijawahi kumuthiri katika muziki wake na  ameanza…

PUTIN AWASILISHA BUNGENI MUSWADA WA KUJITOA KATIKA MKATABA WA INF NA MAREKANI

Raisi wa urusi Vladmir Putin leo amewsilisha muswada katika bunge la nchi hiyo (Duma) wa kujitoa…

Watakao Kamatwa na Mifuko ya Plastiki Kufungiwa Uwanja wa CCM.

Jeshi la Polisi Mkoani Arusha limesema kuwa litalazimika kuwafungia watakao kutwa na mifuko ya plasitiki uwanja…

NEW VIDEO ALERT: RICH MAVOKO ‘USIGUSE’

Rich Mavoko a.k.a Bilionea Kid kadondsha a long waited video song yake ya ‘usiguse’  na wimbo…

Kipindupindu Chaua Mmoja Dar,Wengine 32 Walazwa.

Hayo yamebainishwa leo Mei 29 na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,…

Waandishi Wamtaka Mkuu wa Mkoa Awaombe Radhi.

Umoja wa waandishi wa  Habari Mkoani Iringa umempa  siku saba Mkuu wa Mkoa huo, Ally Hapi…

Kocha wa Yanga Mwinyi Zahera Ammwagia Mapesa Mboni.

Kocha wa klabu ya Yanga Mwinyi Zahera ametoa kiasi cha cha zadi ya shilingi milioni mbili…

Magufuli Amtengua Mkurugenzi Butiama.

Rais Magufuli ametengua uteuzi wa Alphonce Magori kutokana na utendaji wake wa kazi kutoridhisha na nafasi…

Bata Analokula Shamsa Ford Dubai ni Nomaa!

Tumeshuhudia mastar wengi duniani baada ya kuachana na wapenzi wao ,wengi wao hupenda kujitenga kwa muda…