Baada ya matangazo makubwa, mahojiano Wakenya wengi wamekuwa wanatarajia hatimaye yalipeperushwa usiku wa jana kwenye kipindi cha Weekend with Betty.
Mtangazaji Betty Kyallo aliata fursa ya kumhoi bilionea Manu Chandaria nyumbani kwake. Mahojiano imesababisha gumzo mtandaoni.
Bilionea ambaye pia ni mshauri alikiri kuwa ana suti chache sana ambazo Wakenya wameshangazwa kwa bwenyenye mkubwa mwenye utajiri wa kupindukia.
Wakenya walishukuru Betty kwa mahojiano hayo ya kufurahisha ambayo huweka mtazamo juu ya mambo mengi. Hii ilitazamwa na wakenya wengi kinyume na hapo awali abapo alifanya mahojiano a msanii wa injili Ringtone Apoko.
View this post on Instagram
Dr. Manu Chandarias Home elevator… Billionaire goals I tell you. Coming soon on Upclose
Wakenya walisema alikuwa akijisifu sana ikilinganishwa na bilionea mnyenyekevu. Angalia mvuto kiasi katika nyumba ya Dkt. Manu Chandaria iliyo na lifti ndani.
Mashabiki, hata hivyo, waliona jambo moja pekee kuhusu mahojiano katika nyumba ya Manu Chandaria.
Wakati Betty kwa kawaida hutumia siku kamili na wageni wake, ikiwa ni pamoja na kuwa na kiamsha kinywa pamoja nao, hii haikuwa hivyo katika kaya ya bwenyenye. Wakati huu badala yake, aliangalia tu.
Wananchi wengi walitoa maoni yao kuhusu hilo. Haya ni baadhi ya maoni;
sajidkumarpall
Mwindi amekausha breakfast 🤣🤣
yusuf_makarani
This d only interview u didnt eat
tamar_amara
I have learned something billionaires have few suits.. Umejaza wardrobe namasuits za kila colour na umesota #ThinkBig
na_ncy4383
Hukula leo
jonathan_kathawe
Huyu nae alikuweka njaa sana… Hata breakfast alikula ukiangalia 😢
nisyo10
Leo io upclose imeweza.💯👌Wished you could bring more of this gal. Atleast people we can emulate values and learn Somthing for life from.Thanks.
irenemwende2520
Its a privilege to meet great people like this,,,,ur bls my sis keep the fire burning and keep on keeping on
meshack6022
Great Betty tonight you have made it,I like this man Manu Chandaria 👏👏👏👏
sherry_xtine
Up close is the reason I watch k24 news on Fridays! It’s🔥🔥
m.u.k.h.w.a.n.a
Bado tunadahi chocolate na breko😁😁😁😁😁
mulamwah
Up close na mko mbali mbali aki 🤔🤔
dianadynaz
Sijaona ukipewa kachai ama chocolate