Msanii wa Injili Bahati yuko tayari kutekeleza amri ya Mungu kwa mwanadamu kujaza dunia kama maandiko yanavyosema katika Mwanzo 1:28.
Bahati na mke wake Diana wanatarajia mtoto wao wa pili na amekiri kwamba anataka watoto zaidi.
Aliweka video ya Diana na binti yao Heaven kwenye mtanao wa Instagram ikiwa na maelezo;
“DEAR GOD,
I NEED 3 MORE BEAUTIFUL KIDS LIKE THIS 😍😍😍 MY FANS PLEASE CONVINCE MY BAE @DIANA_MARUA ASICHOKE NA MIMI. (Mola, nataka watoto wengine watatu warembo kama huyu. mashabiki wangu nisaidie kumshawishi mke wangu asichoke na mimi).
Ujumbe huu ulileta hisia tofauti kutoka kwa mashabiki wake na haya ni baadhi ya maoni;
phyllphyll Sasa sekete ndio muichoree time table uko sawa
djsadic Performer
weezdommusic @bahatikenya Aky Haurumii mtoto wa wenyewe Diana.. Ata haumpumzishi Ajiwatch kwa #BahatiReality 😩
eng.owadgi_fibi @bahatikenya aka Ken WA Maria najua unataka watoto haraka juu shosh ako karibu na menopause
d_merlaw Hahaha Diana please hubby says 3 more, usibishane mke ni submission 🤣🤣 tukutane labor room🤸♀️
Bahati kwa sasa ana watoto watatu, mmoja kutoka mpenzi wake wa zamani, mmoja anayemlea kama mzazi na mwengine kutoka ndoa yake na Diana.
View this post on Instagram