Mvua Kunyesha Maeneo Haya Wikiendi Hii

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa utabiri wa hali ya hewa kwa saa 24 zijazo kuanzia saa tatu usiku huu Februari 17.

TMA imeyataja maeneo yatakayokua na hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache pamoja na vipindi vya jua kuwa ni mikoa ya Kagera, Geita, Kigoma, Katavi, Rukwa, Mbeya, Ruvuma, Songwe, pamoja na kusini mwa Mkoa wa Morogoro.

Maeneo mengine yaliyosalia nchini yatakua na mawingu kiasi pamoja na vipindi vya jua.

Kwa viwango vya joto katika baadhi ya maeneo nchini tazama hapa chini

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *