Uhuru Amtimua Murkomen Kutoka Uongozi wa Seneti

Kipchumba Murkomen Bio, Age, Family, Wife, Education, Children

Seneta wa Elgeyo Marakwet Kipchumba Murkomen ametolewa Kwenye Uongozi wa Seneti baada ya mkutano wa maseneta Kwenye ikulu ya rais.

Nafasi ya Murkomen imechukuliwa na Senetor wa Pokot Magharibi Samuel Poghisio ambaye ni mwnachama wa KANU.

Naibu Rais William Ruto na wendani wake, Kipchumba Murkomen wa Marakwet na Aaron Cheruiyot wa Kericho walikosa kuhudhuria mkutano huo wa Jumatatu asubuhi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *