Waziri wa Usalama wa Ndani Fred Matiang’i ametangaza Jumanne, Februari 11, kuwa likizo ya umma.
Hii ni kuwezesha Wakenya kushiriki katika hafla ya kuomboleza kifo cha aliyekuwa rais wa pili Mzee Daniel Moi.
Tangazo hilo lilitolewa Alhamisi na Mkuu wa Utumishi wa Umma Joseph Kinyua.
President Uhuru Kenyatta to lead Kenyans in public viewing on Saturday. pic.twitter.com/MZjPqF3cuU
— KBC Channel1 News (@KBCChannel1) February 6, 2020
Moi alifariki akiwa na umri wa miaka 95 baada ya kuugua kwa muda mrefu.