KINACHOJIRI: Gavana Sonko Akamatwa

Gavana wa Nairobi Mike Sonko

Gavana wa Nairobi Mike Sonko amekamatwa kufuatia agizo la Mkuu wa Mashtaka Noordin Haji.

DPP Haji aliamrisha kushikwa kwa Sonko asubuhi ya leo kwa madai ya ufisadi.

Haji alisema ana ushahidi wa kutosha kwamba Sonko alivunja sheria na ana kesi ya kujibu.

Sonko alikamatwa akiwa njiani kuelekea Voi.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *