Mabadiliko ya kushangaza ya Robert Burale yazua Gumzo Mtandaoni

Kocha na mtaalam wa mahusiano Bwana Robert Burale amewashangaza wengi baada ya kushiriki picha yake ya zamani mtandaoni.

Burale anajulikana kwa kutoa hotuba zenye kuchochea mawazo na hekima mara nyingi kwenye televisheni na cha msingi ni kuwa alikuwa na zama za zama kama yeyote yule.

 

View this post on Instagram

 

We have to own our scars! We must accept our mistakes! But we must keep growing. #TheCoach

A post shared by Robert Burale (@burale1) on

Kila mtu ana siku za nyuma lakini hakuna mtu aliyetabiri upande huu wa baba wa mmoja.

 

View this post on Instagram

 

And the hands grew.

A post shared by Robert Burale (@burale1) on

Tazama maoni ya wafuasi hapa chini:

alex.owiti

Let’s bow for a word of prayer!

alagasandy

Wacheni mungu aitwe mungu eeish

teacherwanjiku

Verified

Fungeni macho tuombe πŸ™ˆ baba twaja mbele yako…..

chriskirwa

Verified

Lakini Thursday is a great day πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

pinchez_kijana_wa_gukaa

Ya mungu ni mengi ya kuku ni mayaiπŸ™Œ

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *