Mrembo kupindukia! fahamu bintiye Miguna

Miguna Miguna kwa mara ya kwanza aliweka picha ya mke wake mrembo alipokuwa akisherehekea siku yake ya kuzaliwa na binti yake siku ya kusherehekea baba.

Miguna anajulikana sana kwa kuwa msiri na kutoweka mambo ya familia yake kwenye wazi kama wanasiasa wengine.

Kwenye siku ya kusherehekea kwa kuzaliwa kwake, Miguna alimwandikia ujumbe wa mapenzi na kumsifu kwa urembo wake;

Mke wangu mpendwa, mama wa watoto wangu, kheri ya siku ya kuzaliwa na ufurahie siku ya mama duniani

Vilevile, Miguna alimtumia bintiye ujumbe wa kutamanisha;

Ujumbe wa binti wangu mpendwa wa siku ya kusherehekea baba

Wafuasi wake walimsifu kwa kuwa na binti mrembo kupindukia na ata kufanya mzaha kwa kumtaka atangaze posa yake.

Haya ni baadhi ya maoni yao;

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *