Omtatah afika Kortini Kupinga Msamaha wa Ushuru wa CBA-NIC

Civil rights activist Okiya Omtatah argues at Milimani court on October 13, 2017.

Mwanaharakati Okiya Omtatah ameenda kortini kupinga msamaha ya ushuru iliyopewa muunganiko wa benki za NIC na CBA. Anataka mahakama isimamishe uamuzi huo wa kisiri wa idara ya hazina ya kuzisamehe ushuru benki hizo.

“Msamaha wa ushuru uliagizwa  Julai 26 lakini ukatangazwa tu mnamo Agosti 18 unakiuka sheria, sio halali na hauzingatii katiba” inasoma hati ya korti.

Mnamo Mei, Mamlaka ya Ushindani ilikubalia kuunganishwa kwa benki za CBA na NIC. CBA, ambayo inamiliki hisa ya asilimia 6.05 katika soko , na Benki ya NIC iliyo na asilimia 4.62 wote watashikilia asilimia 10.67 ya soko.

“Walakini, inakadiriwa kuwa taasisi iliyojumuishwa itaendelea kukabiliwa na ushindani mkubwa kutoka kwa benki kuu zinazodhibiti asilimia 55.32 ya soko,” mdhibiti walisema katika ilani yao…. Maelezo zaidi Kufuatia

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *