Pole sana: Larry Madowo amhurumia mjane wa Okoth

Image result for ken okoth wife and family

Ripota wa habari za BBC, Larry Madowo, ameelezea kuwa amejaribu kufikiria wala hajapata taswira ya venye mjane Monicah anepitia kwenye wakati huu mgumu.

“Nikiwa nina upungufu aliniliwaza na alipokuwa ana udhaifu wowote, nilihakikisha yupo sawa mwisho wa siku, Okoth aniliambia wiki chche zilizopita. Alikuwa anajivunia kuwa naye na siwezi amini anapitia haya sasa bila Okoth,” alisema Madowo.

Image result for larry madowo

Kukiri kwake kunakuja wakati familia ya Ken Okoth imepitia changamoto nyingi ikiwemo korti kusimamisha  mazishi au kuchomwa kwake.

Pia kutokana na mwakilishi wa bunge la kaunti Anne Thumbi kujitokeza kupelekea kuwe na wakati mguu kwa familia hiyo iliyopoteza Ken Okoth kwa njia ya saratani.

Image result for okoth and monicah

Kwenye misa iliyofnyika kwenye shule ya wasichan ya Moi jijini Nairobi, Monicah alisema jinsi anajivunia kuwa mke wa Okoth.

“Ningependa kusema ninajivunia kwa heshima kuwa mke wa Okoth. Alikuwa mtu mwenye upendo, ufasaha na hekima.”

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *