Ni kweli DJ Mo ana mapacha nje ya ndoa?

Kama kweli wahenga hawakukosea waliposema kifanywacho gizani huonekana asubuhi! Inaweza kuwa kweli maskini DJ Mo aliwaacha watoto wake mapacha na mama watoto?

Mambo yameonekana kudhoofika baada ya mwanamke kujitokeza na watoto wawili mapacha wanomfanana DJ Mo na mtoto wake na Size 8 Ladasha Belle.

Mwanamke huyo anayejiita Carol Nduta aliweka picha hizo kwenye mtandao wa Facebook ambazo zinamfanana Ladasha Belle kilichopelekea watu kumsemeza DJ Mo.

Carol aliweka picha hiyo ya mapacha wake na maneno haya;

“Ata ka tulitengwa tusha grow through God’s grace,” (Tafsiri ya : Hata kama tulitengwa, tumekua kwa neema ya Mungu)

Watumizi wa mtandao walipouona picha hiyo, walijawa na mishemishe na baadhi yao wakatengeneza picha zimeshikana kati ya mapacha na mtoto wa Size 8, Ladasha Belle.

Wengi wamemdihaki DJ Mo kwa kuwaacha watoto wake huku wengine wakimdihaki Size 8 kwa kumsifu mumewe kila uchao kuwa ni mwaminifu.

Haya ni baadhi ya maoni;

Shiku Liz
DJ moo hakuna haja ya DNA waah

Mtoto Mvumilivu Salim Salim
For real they look like him but I don’t think it’s wise to post the kids

Lilian Barrie Hunt
Na hii udaku haitaki uvivu…waah! Hii ni copyright

Monic Miano
someone comup with the song ,”there’s power power in the blood of Jesus”..and i believe there’s also power in the blood of a man…Yeeessss …😎

Shiku Polly Paulyne Mungai
Woi bt akulinde Toto wengi wetu tulilengwa pia na tushamake it in life…..size 8 asione hii

Anne Msupa
Haki sijui kwanini mtu akiruka mtoto wake uwa anafanana kweli ona haka karembo Sasa wamefanana Kama shilling ata nilikua nashangaa mtoto wa size8 amekuaje haraka

Perps Darlies
Holly molly!!!! Huyu hata hatuhitaji DNA

Lilian Lee
Waaaa. They look soo again. Aki asijaribu kukana cz they luk together with him

Githae Esther Nyambura
cheeeei…I thot ni wambo…😨😨they look again..

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *