Ni daktari! Kutana na mpenzi wa Vera Sidika

Kama kweli mapenzi yanarun dunia na hivyo ndivyo ilivyo kwa mwanamtindo na msanii Vera Sidika ambaye amekuwa akisisimua wafuasi wake na mtanashati huyo.

Kwenye kupekuapekua kwenye mitandao, Opera News imekwisha fahamu asili ya mwanaumme huyo ambaye amekuwa akimliwaza vera.

 

View this post on Instagram

 

Casual hangout with bae @iamjimmychansa ❤️

A post shared by VERA SIDIKA (@queenveebosset) on

Vera amemtambulisha King bae wake ambaye tumekuja kufahamu kuwa ni daktari kutoka sehemu za Tanzania.

Jimmy Manji Chansa ndilo jina lake na pia ni msanii kutoka Bongo na kutokana na picha kwenye mtandao, ana urafiki wa karibu na Juma Jux.

Wawili hao wamekuwa wakiweka picha za kusisimua kwenye mtandao wa kijamii ambacho kimewafanya wengi kuwaonea wivu jinsi walivyokamilika. Lakini kama desturi tu, ukiona vyaelea jua vimeundwa.

Hizi ni baadhi ya picha zake Jimmy;

 

View this post on Instagram

 

📸 @queenveebosset 🔥🔥

A post shared by Dr. Jimmy .J. Minja, MD (@iamjimmychansa) on

 

View this post on Instagram

 

🤪

A post shared by Dr. Jimmy .J. Minja, MD (@iamjimmychansa) on

 

View this post on Instagram

 

5 years, 10 semisters, DONE🤙🏻, MD-Medicinae Doctor (Doctor of Medicine)

A post shared by Dr. Jimmy .J. Minja, MD (@iamjimmychansa) on

Hii ni moja ya nyimbo zake;

Ni kweli hao wanapendana au ni kiki tu?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *