PICHA: Maisha na nyakati za marehemu Bob Collymore

Familia ya Mkurugenzi Mtendaji wa Safaricom Bob Collymore na jamii nzima ya Safaricom ilijawa na huzuni asubuhi wa kuamkia leo baada ya habariza kifo yake.

Tukio hilo pia iliwashangaza wakenya wengi ambao wameombeleza kigogo huyo wa kampuni ya mawasiliano ya Safaricom ambayo imejenga jamii ya Kenya kupitia uzinduzi na mafumbuzi alizokuja nazo.

Image result for bob collymore and wambui

Alikuwa rafiki wa kipekee kwa watu wengi, daima alisikiliza kile watu walitaka na alitaka kuona bora zaidi kwa watu. Tunapaswa kukubali kuwa Bob alikuwa na mtazamo mkubwa kwa maisha. 

Wakati wa mahojiano na kituo cha vyombo vya habari, Bob aliulizwa kama alilia baada ya kutambua kuwa yuko na ugonjwa wa saratani. Hili ndilo alilosema:

“Ilinikujia kwa akili huko London katika hospitali wakati ilianza kunijia kwamba ni saratani. Lakini sidhani nililia kwa sababu nilifikiri nitakufa, nadhani nililia kwa sababu nilianza kutambua kiasi gani kila mtu mwingine alijali. Nami nikalia kwa kujibu ujumbe. Ilikuwa ni ujumbe wa kifo, hata bahari ilihama. Kila mtu huko Safaricom na umma pamoja na waKenya, wageni, marafiki, wakinitakia mema.”

Inasikitisha kumpoteza kigogo na uongozi wake katika ulimwengu wa ushirika. Chini ni picha chache za Bob na mkewe Wambui.

Image result for bob collymore and wambui

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *