Mtangazaji wa KTN Linda Ogutu alilia ‘kuni iliyokauka’ kwenye msimu huu wa baridi

Image result for linda ogutu

Linda Ogutu wa KTN alijaza mbwembwe kwenye mitandao ya kijamii ya Twitter Jumatano jioni.

Ogutu aliandika “Mtu anisaidie na kuni imekauka kapsaaaa…. Hi baridi makaa na heater haziwezi….”

Wafuasi walichukua fursa ya kutoa majibu ya kuvutia na kifungu cha kudhani kwamba alikuwa anataka mchumba wa mambo za ngono.

Related image

 

Wafuasi wake walitoa maoni tofauti kuhusu hili na wengi walidhania ni msimu wa baridi na watu wanakaa wawili wawili.

Reactions on Linda Oguttu's Tweet

“Najua mahali unaeza Pata Kuni mzuri ..Slide DM we talk business Linda”  mmoja alisema.

Reactions on Linda Oguttu's Tweet

Msimu huu wa baridi imeleta majanga kwa ambao hawana wachumba na wanajipata wakiegemea upande wa mafuta ya ‘Vaseline’ na sabuni kumaliza mahanjam zao.

Lakini hali ya anga inasemaje sehemu ulipo? kuna baridi au manyunyu za mvua? tupe habari kwenye sehemu ya maoni.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *