Ringtone afunga ndoa na mpenzi wa zamani wa Harmonize

Msanii wa injili Ringtone Apoko hatimaye amepata jiko baada ya miezi na miezi ya kulia na kusali mitandaoni akitoa wito wa kusaidiwa kupata mke.

Image result for ringtone apoko

Cha kushangaza, msanii anayewakosoa wenzake wa injili kama vile Willy Paul na Bahati kwa uchaguzi wao wa wanawake, alifanya uchaguzi usiotarajiwa.

Image result for jackline wolper

Ringtone ametoa nyimbo yake ya Natafuta Bibi ikiambatana na wito wake wa kutafuta bibi kwa mda wa miezi sasa, Jacquiline Wolper ameonekana kama mke kwa wimbo huu.

Image result for jackline wolper

Itakumbukwa kuwa Wolper alikuwa mchumba wa msanii wa bongo Harmonize kabla apatikane kwa kashfa za udanganyifu kwenye uhusiano yao.

Image result for jackline wolper

Harmonize alienda nje ya uhusiano yao na mzungu, Sarah ambaye ni mchumba wake wa sasa anaempenda na ata alimweka kwenye mistari kwa mziki wake wa ‘Never Give Up’.

Baada ya Wolper kumwaga mtama kwa kuku wengi, Harmonize aliweka wazi kwa nini alimwcha mpenzi wake na kuweka wanaume ambao waliwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Wolper.

Lakini mbona Ringtone akachagua mwanamke wa aina hii kama mke wake?

Wakenya wamepagawa kwa huu muonekana wao na walikuwa na haya ya kusema;

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *