Mercy Masika ajinyakulia kazi ya ubalozi wa UNHCR

Image result for mercy masika unhcr

Ujumbe wa fadhila unaendelea kumiminika kwa msanii wa injili wa Kenya Mercy Masika ambaye amejishindia kazi ya ubalozi wa tume ya  wakimbizi (UNHCR).

Mercy Masika amekuwa akijishughulisha na kampeni za LuQuLuQu ambazo zinazodai kubadilisha mtazamo wa wakimbizi.

Image result for mercy masika

Kujihusisha na kampeni za LuQuLuQu kilimfanya Masika kupigania na kuwasaidia kazi za UNHCR kwa kuwatunza watu wanaokimbia makwao. Mwaka jana, alipata fursa ya kutumbuiza kwa TEDx kilichofanywa kwenye ambi wa wakimbizi.

Desemba iliyopita, Masika alishiriki katika kampeni ya Krismasi ya UNHCR inayoomba msaada wa umma kwa wakimbizi hapa Afrika. Masika pia aliwakilisha UNHCR kimataifa kwa Maombi ya ‘National Prayer Breakfast’ katika Washington, D.C., iliyohudhuriwa na Rais wa Marekani na viongozi wengine wa ngazi ya juu.

Uteuzi wake unakuja wakati mzuri wa kufanya mabadiliko katika hali ya wakimbizi ya sasa nchini ambayo ina karibu na wakimbizi 480,000 na wanaotafuta makao.She announced the exciting news on her Instagram page.

Masika alitangaza habari hizi za kusisimua kwenye ukurasa wake wa Instagram.

Baadhi ya watu mashuhuri na mashabiki wamempongeza kwa kazi hiyo.

 

View this post on Instagram

 

Congratulations @MercyMasikaMuguro for being appointed @UNHCRKenya Goodwill ambassador 🔥🔥🔥🙏🙏🙏

A post shared by Christopher Kirwa (@chriskirwa) on

thesarahmwangi

Congratulations and indeed staying on the cause is rewarding 👏👏👏👏👏👏God showering his blessings to each at his right time 🙌🙌

naomi_alexie

Congratulations @mercymasikamuguro ,you are amazing💟💟

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *