“Hutabadilisha wahalifu kwa utawala wa kisasa,”Nsereko amjibu Bobi Wine

Image result for nsereko anb bobi wine

Nsereko ambaye ni mbunge wa Kampala amesemekana kuwa kigeugeu kwa siasa na pia wakala wa kupinga mapinduzi inayoendeshwa nchini Uganda. Anaminika kumfanyia kazi rais Museveni kwa mujibu wa mashbiki wa Bobi Wine.

Kwa mujibu wa wachanganuzi wa kisiasa, Nsereko ameandikiwa ni jinsi gani anapinga mapinduzi ya kuleta mabadiliko nchini Uganda.

Image result for nsereko anb bobi wine

“Nsereko, wewe ni wakili na unafaa kufanya mambo kwa korti sio kutangaza mambo yako kama majarida ambazo zimelipwa.

Mheshimiwa ulienda Marekani na kumvamia Besigye kwa mfumo wake na baadae ukakuja kuwa kama msemaji wake alipovamiwa na Peoples Power.

Bobi Wine hapiganii kuwa mbunge milele kama wegi wenu, anangangana kusaidia jamii ya Uganda, kwa hivyo, achana nae tunampenda.

Image result for nsereko anb bobi wine

Bobi Wine amefungua macho za watu wengi na kwa mda mdogo amekuwa kwa siasa. Pia ameonyesha ouvu wa wanasiasa na jinsi wanavyoendesha.

Kama watu wenye nguvu na utawala, naamini kwa kesho ya upinzani wa Uganda  umezikwa na hautawahi fufuka tena. Wanachi ni werevu na wanaweza kulinganisha na kutofautisha.”

Nsereko amekuwa akimpinga Bobi Wine kwa kazi yake ya kuleta mapinduzi nchini Uganda na mabadiliko ambayo yameshikiliwa na rais Museveni.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *