Shiro wa Auntie Boss akanusha madai kujihusisha na filamu ya ngono

Image result for shiro auntie boss

Mitandao ya kijamii kulijaa jaa mbwembwe baada ya filamu ya ngono iliyodhaniwa kuwa ya mwigizaji wa kipindi cha Antie Boss kusambazwa.

Kama kawaida ya wakenya, hakuna kitu inawaleta pamoja kama mambo chafu ya ngono.

Image may contain: 1 person, smiling, sitting

Nyce wa Njeri almaarufu kama Shiro amekana madai hayo ya kuwa kwenye filamu akisema kuwa watu wanamfananisha tu na mwana dada mmoja aliye na mwonekano wa kufurahia kitendo hicho.

Tukio hili lilimpata muda mfupi tu baada ya siku ya kheri ya kuzaliwa kwake na alipigwa na butwaa na jinsi watu walimtumia ujumbe wa kufedhehesha.

Image result for shiro auntie boss

“Haiyaa! Hivi ndio mwaka mpya after birthday inaanza?! Naambiwa jana mtandao imewaka moto🔥 juu ya ile kuni imerushwa huko,” alisema Shiro.

Kwa muonekano wa mwanadada huyo ambayo ni sawia na yake, mashabiki walikuwa wanauliza maswali nyingi.

Tafadhali, mwanamke huyu anayechambuliwa, kulaumiwa na kuabishwa sio mimi. Namhurumia kwa kweli, mimi kamwe siwezi kumtakia mambo kama haya kwa adui wangu mkubwa,” aliongezea.

Shiro pia alishukuru mashabiki, marafiki na jamii yake waliomtumia ujumbe wa kumtuliza na kusimama na yeye wakati huu mgumu.

Ninawashukuru zaidi kama wengine walivyotumia hii kama fursa ya kunitukana, kunidhihaki na kunidhulumu mimi kwa kutuma ujumbe mbaya na usioelezewa.”

 

View this post on Instagram

 

Haiyaa! Hivi ndio mwaka mpya after birthday inaanza?! Naambiwa jana mtandao imewaka moto🔥 juu ya ile kuni imerushwa huko 🙈 Halafu maswali za “Ni yeye?! Ni wewe?!” Please, that lady currently being exposed, insulted, objectified and embarrassed is not me. And I really feel for her, I would never wish this on my worst enemy 😞. When you trust someone with your vulnerability and they do something like this, it destroys a part of you. I really hope she is able to recover from this🙍🏽‍♀️. As for myself, thank you fans, family and friends for the inboxes of concern 🥰. I appreciate you more as some took this as an opportunity to insult, ridicule and humiliate me by sending very damning and unmentionable messages🤦🏽‍♀️. Good thing is that it reminded me that when you are on your way up, there are those who can’t wait to tear you down🤩. We shall rise above this. We shall not ignore or forget it, but let us all learn from it! Now I am even motivated to do more! #OneJerry shall prosper!💖.

A post shared by Nyce Wanjeri (@nycewanjeri) on

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *