ALLAN MAPIGO AUMIZWA NA MUZIKI WA RICH MAVOKO (Video)

Nadhani wengi mtakua mnamkumbuka producer mkongwe nchini Tanzania Allan Mapigo aliyetengeneza most of Bongo Fleva hit song back anakumbuukwa kwa kutengeneza vibao vikali kwa wasanii kama Q Chilah na wengine kibao.

Sasa sikia hii Allan Mapigo amefunguka kuzungumzia hali ya muziki wa Bongo Fleva kwa sasa pamoja na namna baadhi ya wasanii wakali wanavyokwama huku akiweka wazi muimbaji Rich Makovo anavyokwenda kwa kasi ndogo wakati ana kipaji cha hali ya juu.

Cheki full interview aliyofanya na Bongo Five hapa chini.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *