Wanaume wawili wapatikana wauawa kwenye msitu Sabora

Miili ya wanaume wawili yaligunduliwa ndani ya msitu wa Sabor katika jimbo la Keiyo Kusini mnamo jumatano asubuhi na wanariadha waliokuwa wakifanya mazoezi.

Miili ilikuwa na majeraha ya bunduki kwa kichwa na mikono yao ilifungwa na kamba.

Wanaume wengine wawili walipatikana wakiwa hai huku wakiwa na majeruhi makubwa mita chache.

Image result for bodies of the two men were discovered inside Sabor forest in Keiyo South constituency

Wanaume hao wanne wanaaminika kuwa walipigwa risasi Jumatano.

Hillary Kemboi, ambaye alikuwa miongoni mwa wanariadha watano waliokumbana na miili hiyo, alisema karibu mita 30 kutoka ambapo miili ya wanaume hao yalilala, walikuta mtu mwingine ambaye alikuwa na majeraha makubwa ya silaha lakini alikuwa bado hai.

Kemboi alisema waliomba wito kwa bodaboda  ambao walimpeleka mmoja wao liyetokwa damu mtu aliyeyetokana na damu katika Kituo cha Afya cha Kapteren kilicho karibu, Standard inaripoti. 

Baadaye mchna, mwanaumme mmoja aliyenusurika kifo kwa jina Kapyatich Rono, alipatikana ndani ya msitu, mita chache ktoka ambapo miili miwili yalipatikana.

Image result for moi referral eldoret

Kabla ya kukimbizwa hospitalini ya Moi Eldoret, Rono, ambaye alishambuliwa mchana, alielezea kwa shida jinsi hao wanne walikuwa wamefungwa macho, wakapelekwa kwa msitu na kupigwa risasi.

Rono alidai kuwa alichukuliwa na wanaume wasiojulikana katika MTRH ambako alikuwa amekwenda kuchnguza jamaa mgonjwa Jumatano, akafunikwa macho na kuwekwa kwa gari ambalo lilikuwa na watu wengine kadhaa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *