Magufuli Amtengua Mkurugenzi Butiama.

Rais Magufuli ametengua uteuzi wa Alphonce Magori kutokana na utendaji wake wa kazi kutoridhisha na nafasi yake itajazwa baadaye.

Kupitia taarifa iliyotolewa na Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo amewataka Wakurugenzi wote ambako hospitali za Wilaya zinajengwa kumaliza majengo hayo ifikapo Juni 30 kama walivyoelekezwa

Aidha, Waziri Jafo amesema atasikitishwa sana iwapo Wakurugenzi wa maeneo husika watashindwa kufikia malengo ya Serikali

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *