“Umeamua ukule madem wote kabisa” Kenyans to Chipukeezy

Image may contain: 2 people, people standing, ocean, sky, beach, shorts, outdoor and nature

Comedian Chipukeezy’s photo shoot led him in the wrong hands of Kenyans after he was spotted in the company of an elderly white lady. Captioning the photo, he asked; “Wait A minute Hii story ya Gold imefika wapi wadau?” Kenyans stormed the comments section with mixed reactions, here are some of them.

Muthini: Angalia nyuma yako kijana!

Lucky Shiro: Ndio hiyo nyuma yako!

Kiruski: Ndiyo hiyo kando yako, start digging.
Laughing LOL GIF - Laughing LOL DyingOfLaughter GIFs
Nguya: Si uko nayo on your left bwana Director?
Musili:  😂 Ushajishikia kako ka kurusha shot puts.
Sogome: Tunaona unachimba white Gold hapo mobatha
Lol GIF - Laugh Laughing LOL GIFs
Nurk: Imefika io distance yko na huyo shosho.
SA Amos: Unamaanisha hiyo yenye uko nayo karibu ama😂😂😂🤔
Njoroge: kidogo kidogo ukikuja pale chirchil kimbo spur mall utapata mtu akisema ati chipo aliwekwa na mzungu
Hilary Dead Laughing GIF - YoungerTV Younger TVLand GIFs
Vummy: Imefika hapo pembeni yako😁😁😁
Kirimi: Umeamua ukule madem wote kabisa
Whisp: Hiyo gold kando yako una boobs kubwa kumshinda…. what’s the deal hear
Laugh Lol GIF - Laugh Lol Lmao GIFs
Quenns flip: Huyo ndio alikulipia ukaone Kevin Hart
Lynne: Imefika hapo kwa huyo mzungu unadig😏
Chosen one: Unataka kuswim ndani ya hiyo ocean ama ndani ya huyo ocean🤣🤣
Rolling On The Floor Laughing GIF - RollingOnTheFloor Laughing Emoji GIFs
John Kiash: Vile mko kwa hiyo picha utadhani huyo dame anakufuatia maembe😂😂
Kelvin Njau: Gold 🥇 ndo hiyo uko nayo. What more gold do you want??? Wacha kusumbua watu… Pekejeng Pekejeng
Oprah GIF - OprahWinfrey Laugh Laughing GIFs
Ky Kamali: 😂😂chipu wacha kuchange story huyo aliye upande wako wa kushoto je tueleze ….
Zammuna: kimoyoski pia wewe umeangukia mbogii
Makhulo Gabriel: Iko hapo side na camera tunaimulika mdau😅

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *