Tanzanians calls for Zari’s arrest ahead of her soft care diaper tour

Related image

Tanzania socialite Mange Kimambi has vow not to give Ugandan bussines woman Zari Hassan her piece of mind.

The two have been having online fight which led Mange to expose Zari’s dirty video online.

If that is not all, Mange is know pleading with the Tanzania government not to allow Zari to the country ahead of her softcare diaper tour.

” Tunaomba serikali ya Tz itende haki kwenye hili jambo la Zari Hassan mwenye passport ya South Africa ambae anatarajia kuingia Tanzania siku ya Ijumaa tarehe 3 May 2019″ she wrote.

View this post on Instagram

@tratanzania @takukuru.tz @tcra_tanzania @uhamiajiTanzania . Tunaomba serikali ya Tz itende haki kwenye hili jambo la Zari Hassan mwenye passport ya South Africa ambae anatarajia kuingia Tanzania siku ya Ijumaa tarehe 3 May 2019. . . Immigration ya Tanzania Huyu mganda mwenye passport ya South Africa ana kibali cha kazi? Anaingiaje Tanzania kufanya kazi bila kibali cha kazi? Immigration kutwa mnashinda kariakoo kukamata wachina mnadai hawana vibali vya kazi huyu Zari je yeye ana kibali cha kazi?Na hii ni tabia yake ya miaka mingi. Cha pili huyu Zari Hassan mwaka jana mwezi wa 9 alizuiliwa immigration ya UK zaidi ya masaa 15 na Baadae akapigwa ban haruhusiwi kukanyaga tena UK, nyinyi kama immigration mnatakiwa muwasiliane na immigraiton ya UK mfatilie.Mfatilieni passport yake ya Kiganda aliyoingia nayo Tz 2 years ago na passport yake ya sasa ya ki South Africa, mtaona umri ni tofauti.Huyu ni age faker. . . TRA mmewakalia kooni watanzania kulipa kodi, vijana hawahemi mnawadai kodi.Mpaka wamachinga mnawadai kodi, je inakuwaje huyu Zari miaka yote anapiga kazi Tz na halipi kodi?Huyu Zari keshakwepa kodi nyingi Tz anatakiwa kufunguliwa kesi ya kukwepa kodi na tena anaonyesha hadharani kazi bila kulipa kodi? Yeye ni nani anafanya kazi Tz bila kulipa kodi wala kuwa na work permit?Ingefaa mumpigie mahesabu ya kodi za nyuma kama mlivyowapigia Accasia. . . Polisi na TCRA Kutwa Mnakamata watu na kuwafungulia kesi sababu ya matusi ya mitandaoni, juzi kushinda jana Zari kajirekdoi video kabisa anamtukana mtanzania(😉) na mara kwa mara huwa anatukana taifa zima kuwa halijui english mpaka rais wao hajui english.Huyu mtu anadharau mpaka rais hajui english.Huyu mwanamke anasema hadharani kuwa sehemu zake za siri ndo zinampatiia mali Na mpaka video yake ya ngono ipo mitandaoni, nchi nzima wameshaiona😩 . . TAKUKURU& TRA Hii kampuni ya softcare pia ichukuliwe hatua, inaleta watu nchini wa kufanya kazi bila work permit na wala halipi kodi? Hii sio mara ya kwanza wamemleta huyu bibi.Wazawa hawana kazi wao wanaleta maforeigner tena bila kufata sheria za nchi. . . Haya na nyie mshikie bango, si mnajua mimi serikali hawanipendi 😂 ila watawasikiliza nyinyi mkipiga kelele za kutosha.

A post shared by Mange Kimambi (@mangekimambi_) on






Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *