Nyota Ndogo cries out parenting struggles

Image may contain: 2 people, people standing

The ‘watu na viatu’ hitmaker, Nyota Ndogo, struggled to raise her children as a single mother. Through her Instagram account, she narrated how she managed to take her one child to a lavish school while the other could attend just a school near their home.

This affected the little girl since she was happy with how she would walk to school while her brother would go to school and come back home by school bus.

View this post on Instagram

LONG POST .So Leo tumuongelee @barkaabdallamohamed .after kuishi na Mbarak miaka saba bila kua na dada ama ndugu then pap nikapata ujauzito wa huyu malkia wenu. So nilikua n.a. nyumba tuktuk na land nyengine land kama single mum.barka alipofikia umri wakwenda shule nikamuingiza shule ya hapa mtaani kwetu tu ata alikua anajipeleka tu.but alikua analia saa zote mum niingize shule ya kina Mbarak niwe nikienda nae mimi sipendi hii shule shule yakina mbarak wanaletwa na gari mimi yetu haina gari. But mimi uzuri sijui kuongea n.a. mtoto kitoto mimi uwaongelesha kama watu wazima. Nikawa namjibu siwezi kuwasomesha nyote shule ya pesa sina uwezo huo but niombee kwa MUNGU siku moja nitakutoa hapo nikupeleke shule mbarak anayosoma.but nimtoto so hakuwacha kusimamisha na mimi namjibu hivyohivyo.so when I meet my husband na akataka kuja kwangu aliketi 2days akaona mbarak anakwenda n.a. gari barka anatembea akawa anamfata barka shuleni.akaniuliza mbona barka anasoma shule ile why not hawaendi shule moja?nikamjibu siwezi kufosi kitu kisiwezi hio shule ni ghali siwezi lipia wote but ndio ndoto yangu one day wataenda pamoja.after 2days my husband akaniambia twende town tukaenda ananiuliza duka nguo za shule nikamwambia liko kule bila kujua why anauliza.tukaingia akasema nataka nguo za shule za shule anayosomea mbarak ili nimnunulie barka mimi nitamsomesha wacha waende shule moja watafurai. So alinunua nguo tano za barka yani barka alifurai sana. So mume wangu anamsimesha barka mimi mbarak but simetimes mimi nikiwa na pesa na mwambia nimewalipia wote utalipa next time.mimi nimtu nimesoea kujilelea wanangu sitaki mtu aseme kama sio mimi kama sio mimi.nafurai kua barka alifurai MIPANGO YOTE ANAPANGA MUNGU.najua anaweza kuwalipia wote but sifai kujilegeza .WANAWAKE TUNAWEZA TUKIAMUA

A post shared by nyota ndogo (@nyota_ndogo) on

On getting married to her Danish husband, he helped her by paying school fees for the girl that she could join her brother in his school as it was her wish.

Image may contain: 4 people, people smiling, people standing and beard

She wrote; “after kuishi na Mbarak miaka saba bila kua na dada ama ndugu then pap nikapata ujauzito wa huyu malkia wenu. So nilikua n.a. nyumba tuktuk na land nyengine land kama single mum.barka alipofikia umri wakwenda shule nikamuingiza shule ya hapa mtaani kwetu tu ata alikua anajipeleka tu.

Image may contain: 2 people, people smiling, people standing and outdoor

But alikua analia saa zote mum niingize shule ya kina Mbarak niwe nikienda nae mimi sipendi hii shule shule yakina mbarak wanaletwa na gari mimi yetu haina gari. But mimi uzuri sijui kuongea n.a. mtoto kitoto mimi uwaongelesha kama watu wazima. Nikawa namjibu siwezi kuwasomesha nyote shule ya pesa sina uwezo huo but niombee kwa MUNGU siku moja nitakutoa hapo nikupeleke shule mbarak anayosoma.

Image may contain: 1 person

But nimtoto so hakuwacha kusimamisha na mimi namjibu hivyohivyo.so when I meet my husband na akataka kuja kwangu aliketi 2days akaona mbarak anakwenda n.a. gari barka anatembea akawa anamfata barka shuleni.akaniuliza mbona barka anasoma shule ile why not hawaendi shule moja?nikamjibu siwezi kufosi kitu kisiwezi hio shule ni ghali siwezi lipia wote but ndio ndoto yangu one day wataenda pamoja.

Image may contain: 3 people, people playing musical instruments and people on stage

After 2days my husband akaniambia twende town tukaenda ananiuliza duka nguo za shule nikamwambia liko kule bila kujua why anauliza.tukaingia akasema nataka nguo za shule za shule anayosomea mbarak ili nimnunulie barka mimi nitamsomesha wacha waende shule moja watafurai. So alinunua nguo tano za barka yani barka alifurai sana.

Image may contain: 2 people, people smiling, people sitting, people sleeping and close-up

So mume wangu anamsimesha barka mimi mbarak but simetimes mimi nikiwa na pesa na mwambia nimewalipia wote utalipa next time.mimi nimtu nimesoea kujilelea wanangu sitaki mtu aseme kama sio mimi kama sio mimi.nafurai kua barka alifurai MIPANGO YOTE ANAPANGA MUNGU.najua anaweza kuwalipia wote but sifai kujilegeza .WANAWAKE TUNAWEZA TUKIAMUA.”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *