Nairobi: Mvua ya dakika ishirini yaleta madhara jijini

Mvua ya dakika ishirini imeleta uharibifu jijini Nairobi licha ya Gavana Mike Sonko kuahidi kwamba mifereji ya maji kwenye jiji na viunga vyake yako sawa kabla ya msimu wa mvua.

2:36 Am still tuko job The rains are finally here after a long wait.We have tried our best to unclog our drainages in all the 17 Sub-Counties, however if you see any flooding in your location please call or sms our standby rescue teams. +254 722 886 600, +254 722 156 700. +254 722 732 330 or +254 722 832 930We assure City residents of quick response in order to save lives and properties.Let's make Nairobi the City of Choice to

Posted by Mike Sonko. on Monday, 22 April 2019

Wanajiji walitarajia kuwa juhudi za hivi karibu za serikali ya Sonko za kzibua mifereji ya maji zingesaidia kuhepuka madhara ya msiu uliopita.

Unclogging of drainages is a continuous process kuna team ya Mchana na team ya Usiku.NAIROBI EMERGENCY RESPONSE.In…

Posted by Mike Sonko. on Tuesday, 23 April 2019


Hata hivyo, mvua ya dakika chache iliweka ahadi ya Sonko kwa majaribio na sasa baadhi ya barabara hazipitiki.

Wakenya walikuwa wamepata afueni baada ya kuona mvua ikianza kunyesha kwa sehemu mbali mbali za nchi baada ya kukumbwa na kiangazi kwenye Kaunti nyingi.

Image result for nairobi rains

Idara ya hali ya anga ilikuwa imetoa tahadhari kwamba mvua itanyesha kuanzia wiki hii, ikiangazia Magharibi mwa Kenya, Kati, na Kusini mwa bonde la ufa kama sehemu zitakazopata mvua nyngi.

Kauanti ya Nairobi na sehemu ya Kati ya nchi y Kenya pia ziliangaziwa kwa utabiri.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *