Short and sweet! Your memes, my story

This is a collection of the most random trending funny memes that Kenyans came up with. I decided then to do a random story on them as they appear. I cannot laugh alone, so gang! I present my madness to you………hehehe……….

I know you all have friendz who blaze seriously and maybe all of you engage in sessions…but if it has never hitt you soo hard to the level ati mnazubaaa hii design….hio ndom imetengenezwa na nyasi!

This image has an empty alt attribute; its file name is football-576x1024.jpeg

ushai ingia matt uko umekaa down na earphones kwa maskio, alafu mtu anakugusa mabega unatoa dough kwa mfuko unapatiana bila kuangalia nyuma?

Asubuhi asubuhi mko pale stage na nyii woote mnangoja kusikia matt itataja bei gani ndo muingie?

Lakini ikifika afte.…customer is king so this is how you walk knowing very well…ati makanga ako na njaa na atakubembeleza ndio uingie matt…

I love reminiscing on high-school memories because of the crazy assortment of characters that were there. Nakumbukaga jamaa mmoja alikuwa anaitwa Gaita..the dude used to blaze na alikuwanga tu high 24/7. Shati yake ilikuwa collar pekee juu hakuwa anapenda kuosha nguo…it was easier for him to wash the collar only and top it up with a sweater……..

Unakumbukaga visiting day pale highschool…umeletewa chipo, juuwoo, bikwi, kuku…vitu tu kibao. So, you lock the box with the biggest padlock na niilie iko na lock mbili pande zote….my fren umetoka preps freshi ukijua unaenda kusheerekea…heart attack inakugonga kuona box imepigwa butterfly!

Mbona waseee hupenda tu kuchongoa watu wa Ronga, Kiite, Mwihoko na Juja Farm? Is it because the places are far from Nairobi, ama ni ile vumbi itakuchapa? Watu wa huko huvaa nguo za white? Ukiwa huko be sure kuvaa na kuringa na nguo za linen za white issa no-no!

Skia….uko na deni ya msee…..unafanyanga juu chini msiwahi patana, unapitanga machuwom zingine ndio asiwahi kuona, simu akipiga unalenga alafu unareply baadaye na katext ka ufala..ati ooo nilikuwa na matt iko na makelele…ooo, mara nilikuwa sijui-eeee- huto tuuuwongo! Kidogo kidogo amekupata uko na jaba ya soo mbili, half litre ya Coke na mabigi-gee za chwani! Utadooo?

One time I was invited to a house party in Nyaayo..hio keja, cistern ya choo haina preshaa enuff ya kuflush…na party ilikuwa na mambuss ndani..toto si toto..after doing my bizniss and flushing…the poop just refused to go away...kama ushai jipata kwa situation kaa hiyoo…ulidooo aje? Tell me in the comments section below!

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *