Nandy suprises parents with posh new year gift

Tanzania uprising singer Nandy went a notch higher this festive season by suprising her parents with a brand new house.

While taking to her social media Instagram page she posted thanking God for what he had blessed with.

“Mungu wangu na Baba yangu najua nakukosea sana kama binadamu na kama kijana ila nikipiga goti unajua namaanisha kutoka moyoni mwangu na unajua hakuna ninaye mtegemea zaidi yako… Asante kwakunipa uvumilivu, unyenyekevu, katika maisha yangu hasa kipindi hiki cha mwaka 2018!! Asante kwa hii zawadi ndogo ya wazazi wangu najua hii ni ndoto ya kila kijana mwenye kutafuta!!! Ni kila ndoto ya mwanadamu yoyote duniani kuona wazazi wake wako na furaha na ndiyo baraka zenyewe . Nashukuru media zote , blogs zote, ma producers wote, ma promoters wote, familia yangu ya THT, familia yangu ya clouds ,management yangu, Team yangu, marafiki zangu, Baba yangu wa kiroho Mtumishi MWAMPOSA , na mafans wangu wote ,bila kusahau na hatters wote kwa kunipa nguvuu na supports kwa namna moja au nyingine uwepo wenu ndio mafanikio yangu……..
Nili jipa nguvu kabla sijapewa
Nilijipa moyo kabla sijapewa
Nilijiamini kabla yakuaminika
Nilijikubali kabla yakukubalika
Popote ulipo kijana mwenye ndoto yoyote ile jua inawezekana ukiweka nia ukikubali mazuri na mabaya yote yakufikie sababu ni daraja na nguzo ya mafanikio yako bila kusahau MUNGU ndio kila kitu. Nawapenda
HAPPY NEW YEAR IN ADVANCE ?
#DADAMWENYENYUMBA

View this post on Instagram

Mungu wangu na Baba yangu najua nakukosea sana kama binadamu na kama kijana ila nikipiga goti unajua namaanisha kutoka moyoni mwangu na unajua hakuna ninaye mtegemea zaidi yako… Asante kwakunipa uvumilivu, unyenyekevu, katika maisha yangu hasa kipindi hiki cha mwaka 2018!! Asante kwa hii zawadi ndogo ya wazazi wangu najua hii ni ndoto ya kila kijana mwenye kutafuta!!! Ni kila ndoto ya mwanadamu yoyote duniani kuona wazazi wake wako na furaha na ndiyo baraka zenyewe . Nashukuru media zote , blogs zote, ma producers wote, ma promoters wote, familia yangu ya THT, familia yangu ya clouds ,management yangu, Team yangu, marafiki zangu, Baba yangu wa kiroho Mtumishi MWAMPOSA , na mafans wangu wote ,bila kusahau na hatters wote kwa kunipa nguvuu na supports kwa namna moja au nyingine uwepo wenu ndio mafanikio yangu…….. Nili jipa nguvu kabla sijapewa Nilijipa moyo kabla sijapewa Nilijiamini kabla yakuaminika Nilijikubali kabla yakukubalika Popote ulipo kijana mwenye ndoto yoyote ile jua inawezekana ukiweka nia ukikubali mazuri na mabaya yote yakufikie sababu ni daraja na nguzo ya mafanikio yako bila kusahau MUNGU ndio kila kitu. Nawapenda HAPPY NEW YEAR IN ADVANCE 👑 #DADAMWENYENYUMBA

A post shared by Faustina Charles Mfinanga (@officialnandy) on

Nandy is popularly known for her Njiwa song which she collaborated with Kenyan Gospel Kid Willy Paul.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *